Enzi zetu zile za kobas na bwaga

-6.jpg

It was ufisadi free zone...raha sana
 
Nitasema ya kweyuuuuuu!!!!!!!!! Kijijini!!

Disco letu lilikuwa poa la enzi za santuri na suruali za bugaluu na viztu vya laizoni

Sina picha maana kumpata mpiga picha ni safari ndefu kweli na hivyo picha yangu ipo kwenye scaner yangu ya ubongo kichwani mwangu na kwa aliye nitazama
 
Vijana walioukata wakaenda ugiriki au holand lazima waje na "nguruwe" Pegeot 504. ilikuwa sawa na hamer siku hizi.
 
Kama umeukata ukaenda mtoni unarudi na "gurue" pegeout 504 sasa hivi ni kama vogue
Movies zetu zilkua 'Three the dardway' Jimy kelly Jim brouwn and Fred williamson.au 'One silver doller saved my life'.etc,
Story books zetu zilikua novel za James hardly chase, Sucker punch, Just another sucker, novel kama Papilon au 'The God Father' capo di tuti capi
 
Kuna ambao walikuwa wanamiliki Benz pia duh!

eNZI+ZILE.jpg

Enzi za ujima zilikuwa na raha yake bana
Hapo unahama mtaa kwa ajili ya kipiga picha na gari ya mzee fulani, au unafuata habari ka keshi yake sikukuu ili usiende shule kwa sababu mtaa mzima radio moja ...lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom