Kuna mtu amekuchokoza mtawa wangu? hebu wataje apa chap chap sana
View attachment 148714Enzi zangu hizo. Hapana chezea 3 point zangu pamoja na ufupi wangu.
utafiti, Mndengereko, Don Mangi, Red Giant, Desert Storm, Ntuzu, Mr Rocky, Tized
Nitaweza tenaaaaa?
Wewe nakuuliza conc sulphuric acid kiswahili inaitwaje!!!!!!!! Karucee tod you mitoko usije na watoto unaona sasa !!!!???/
miss neddy,ni wewe tu umebaki kupeleka habari kwa ole?
hahahaha nalipwa posho kwa kazi hii hii
miss neddy,ni wewe tu umebaki kupeleka habari kwa ole?
mwaya miss neddy asione nimekatiza mtaa! Lazima yupo nyuma kama kivuli.
Ngoja uone sasa balaa atakayoniletea.
Nie yake Ennie abaki pekee yake na hapa sing'atuki kwa Ole ng'oooooo!
hahahaha paragraph ya mwisho ndo imenifumbulia fumbomwaya miss neddy asione nimekatiza mtaa! Lazima yupo nyuma kama kivuli.
Ngoja uone sasa balaa atakayoniletea.
Nie yake Ennie abaki pekee yake na hapa sing'atuki kwa Ole ng'oooooo!