Enzi za Mkapa mishahara ilitoka mapema

Mbona sie wengine tushatafuna? Nasasa tunapiga mahesabu ya next month? Labda idara yenu wazembe tu! Wala usimsingizie Jk. Kwani wakati wa mkapa ulikuwa unapata Tsh ngapi as saraly? Tusiwe wanafiki na tuseme ile iliyokweli!
 
Unafurahi kupata mshahara wa mwezi kabla hata mwezi haujaisha, huu ndio ule ujima wa kuwafurahisha wafanya kazi nje ya utaratibu wa kuhakiki utendaji kazini. Mfanyakazi anatakiwa alipwe haki yake baada ya kuhitimisha siku zake za kazini.
Akija kiongozi anayetaka sheria zifuatwe inafyotakiwa tutamwona mbaya kumbe sababu ya mtazamo wetu finyu.
 
Back
Top Bottom