Enzi ya enzi! Dr Remmy Ongala

Enzi ya enzi! Dr Remmy Ongala

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417427423816.jpg
 
Kifo hakina huruma
kilimuua Remmy Ongala
 
Eti muziki asili yake wapi jamani..r.i.p dokta remmy
 
mwisho wa mwezi x2
kuna raha ya pekee
naona hata lugha hubadilika mamaooo
habari gani utasikia"how ar u?
hakuna utasikia "no sweat
 
kilio cha samaki machozi huenda na maji
mambo mambo kwa soksi
kifoo hakina huruma
mchaka mchaka
oo rest in peace dr
 
Muziki ni wananiiii ehhh....
R.I.P legendary hivi amekufa hata tuzo moja amepata kweli???
 
... Hodi humu ndani jamani hoooodiiii!! .. Kariiiiibu, wewe mke wa nani ndani ya nyumba hii? Mke wa fundi koroboooi hapo miembeni..........! R.I.P Dr. Remmy Ongalla.
 
mshana jr umenikumbusha mbali siyo kwa miziki yake, bali kwa issue nyingine kabisaaaa.

Dr Remmy, Jangala na Masudi Ally Sultani (kama sijakosea) walishiriki mashindano ya kumtafuta mtu mwenye sura mbaya Tanzania.

Nakumbuka Masudi alishinda, Dr Remmy akakata rufaa kwa kigezo kuwa Masudi hakuwa na sura mbaya ya asili bali alikuwa anaumwa ukoma.

Akadai yale matokeo yalikuwa yamechakachuliwa kwa kuwa it was impossible Masudi kushinda lile shindano na kutunukiwa taji.

Akadai kama haki ingetendeka angeshinda lile shindano kwa sababu yeye alikuwa mbaya zaidi kupita wote na alistahili kuchukuwa taji.

Sasa inadaiwa kuwa baada ya Remmy kufariki (RIP), Masudi alikutana na paparazi ndani ya Ukumbi wa Max ambaye alimuuliza alijisikiaje kufuatia kifo cha swahiba wake huyo.
Masudi: "Weee, usiniambie, Remmy alifariki dunia? Lini?"
Paparazi: "Mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili."

Masoud: "Duu! Sasa itakuwaje?"
Paparazi: "Poa tu. Kwani we ulisafiri?"
Masoud: "Nimejaa tele."


Yaani kwenye yale mashindano, Masudi Sura Mbaya alimshusha confo Dr Remmy, akawa anamwambia wee mrembo tuu.

Halafu nimemkumbuka Nyanidume aliandika hapa wakati wa kuwauliza washindani maswali, Masudi aliulizwa kama ameoa akajibu hapana bali alikuwa na bwabwa linalomkidhi haja zake za kingono.

Hata hivyo, baada ya shindano lile na rufaa za Dr. Remmy kupigwa chini, Masudi alidai kuwa alikuwa anapata usumbufu mkubwa kutoka kwa "wachumba" waliotaka awaoe.

Pia baada ya mashindano, Masudi alipiga mkwara wa kufa mtu kuwa kama watu wangeleta tena za kuleta angemleta mjomba wake (mbaya zaidi yake) katika shindano yajayo, ambalo halijawahi kufanyika tena mpaka leo.

ladyfurahia hakikisha katika shindano lako la mwaka huu la kumtafuta mwenye sura mbaya mtu mwe
nye avatar ya Masudi Sura Mbaya anakuwepo anakuwepo.
 
mwisho wa mwezi x2
kuna raha ya pekee
naona hata lugha hubadilika mamaooo
habari gani utasikia"how ar u?
hakuna utasikia "no sweat
Mohamed Manati na vijana jazz
 
mshana jr umenikumbusha mbali siyo kwa miziki yake, bali kwa issue nyingine kabisaaaa.

Dr Remmy, Jangala na Masudi Ally Sultani (kama sijakosea) walishiriki mashindano ya kumtafuta mtu mwenye sura mbaya Tanzania.

Nakumbuka Masudi alishinda, Dr Remmy akakata rufaa kwa kigezo kuwa Masudi hakuwa na sura mbaya ya asili bali alikuwa anaumwa ukoma.

Akadai yale matokeo yalikuwa yamechakachuliwa kwa kuwa it was impossible Masudi kushinda lile shindano na kutunukiwa taji.

Akadai kama haki ingetendeka angeshinda lile shindano kwa sababu yeye alikuwa mbaya zaidi kupita wote na alistahili kuchukuwa taji.

Sasa inadaiwa kuwa baada ya Remmy kufariki (RIP), Masudi alikutana na paparazi ndani ya Ukumbi wa Max ambaye alimuuliza alijisikiaje kufuatia kifo cha swahiba wake huyo.
Masudi: “Weee, usiniambie, Remmy alifariki dunia? Lini?”
Paparazi: “Mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili.”

Masoud: “Duu! Sasa itakuwaje?”
Paparazi: “Poa tu. Kwani we ulisafiri?”
Masoud: “Nimejaa tele.”


Yaani kwenye yale mashindano, Masudi Sura Mbaya alimshusha confo Dr Remmy, akawa anamwambia wee mrembo tuu.

Halafu nimemkumbuka Nyanidume aliandika hapa wakati wa kuwauliza washindani maswali, Masudi aliulizwa kama ameoa akajibu hapana bali alikuwa na bwabwa linalomkidhi haja zake za kingono.

Hata hivyo, baada ya shindano lile na rufaa za Dr. Remmy kupigwa chini, Masudi alidai kuwa alikuwa anapata usumbufu mkubwa kutoka kwa “wachumba” waliotaka awaoe.

Pia baada ya mashindano, Masudi alipiga mkwara wa kufa mtu kuwa kama watu wangeleta tena za kuleta angemleta mjomba wake (mbaya zaidi yake) katika shindano yajayo, ambalo halijawahi kufanyika tena mpaka leo.

ladyfurahia hakikisha katika shindano lako la mwaka huu la kumtafuta mwenye sura mbaya mtu mwe
nye avatar ya Masudi Sura Mbaya anakuwepo anakuwepo.

Hili shindano halikufanyika tena kutokana na waandaaji kutanguliza maslahi binafsi na kushindwa kukubaliana katika mambo kadhaa,

Ila kama yangeendelea masoud surambaya angewaburuza washiriki wengine kila mwaka
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Itabidi nianze mchakato huo best hapa wa kumtafuta mwenye sura mbaya iliyojaa kisusio cha aina yake kwani naona mnakumbuka haya mashindano.

Ngoja nijipange nipite kila idara kusaka hao watakaohitaji kushindanishwa hapa kaeni mkao wa kusubiri na kujionea wenyewe mshindi ataondoka na kitita cha 350bl kile kilichogawiwa katika mfuko wa tegeta escrow lazima warudishe tufanyie mashindano hapa wewe waonaje ?
mshana jr umenikumbusha mbali siyo kwa miziki yake, bali kwa issue nyingine kabisaaaa.

Dr remmy, jangala na masudi ally sultani (kama sijakosea) walishiriki mashindano ya kumtafuta mtu mwenye sura mbaya tanzania.

Nakumbuka masudi alishinda, dr remmy akakata rufaa kwa kigezo kuwa masudi hakuwa na sura mbaya ya asili bali alikuwa anaumwa ukoma.

Akadai yale matokeo yalikuwa yamechakachuliwa kwa kuwa it was impossible masudi kushinda lile shindano na kutunukiwa taji.

Akadai kama haki ingetendeka angeshinda lile shindano kwa sababu yeye alikuwa mbaya zaidi kupita wote na alistahili kuchukuwa taji.

Sasa inadaiwa kuwa baada ya remmy kufariki (rip), masudi alikutana na paparazi ndani ya ukumbi wa max ambaye alimuuliza alijisikiaje kufuatia kifo cha swahiba wake huyo.
masudi: "weee, usiniambie, remmy alifariki dunia? Lini?"
paparazi: "mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili."
masoud: "duu! Sasa itakuwaje?"
paparazi: "poa tu. Kwani we ulisafiri?"
masoud: "nimejaa tele."


yaani kwenye yale mashindano, masudi sura mbaya alimshusha confo dr remmy, akawa anamwambia wee mrembo tuu.

Halafu nimemkumbuka nyanidume aliandika hapa wakati wa kuwauliza washindani maswali, masudi aliulizwa kama ameoa akajibu hapana bali alikuwa na bwabwa linalomkidhi haja zake za kingono.

hata hivyo, baada ya shindano lile na rufaa za dr. Remmy kupigwa chini, masudi alidai kuwa alikuwa anapata usumbufu mkubwa kutoka kwa "wachumba" waliotaka awaoe.

Pia baada ya mashindano, masudi alipiga mkwara wa kufa mtu kuwa kama watu wangeleta tena za kuleta angemleta mjomba wake (mbaya zaidi yake) katika shindano yajayo, ambalo halijawahi kufanyika tena mpaka leo.

ladyfurahia hakikisha katika shindano lako la mwaka huu la kumtafuta mwenye sura mbaya mtu mwe
nye avatar ya masudi sura mbaya anakuwepo anakuwepo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Itabidi nianze mchakato huo best hapa wa kumtafuta mwenye sura mbaya iliyojaa kisusio cha aina yake kwani naona mnakumbuka haya mashindano.

Ngoja nijipange nipite kila idara kusaka hao watakaohitaji kushindanishwa hapa kaeni mkao wa kusubiri na kujionea wenyewe mshindi ataondoka na kitita cha 350bl kile kilichogawiwa katika mfuko wa tegeta escrow lazima warudishe tufanyie mashindano hapa wewe waonaje ?

Niongeze kwenye udhamini zawadi yangu hii hapaView attachment 207342
 
Back
Top Bottom