mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,314
- 290

Dah!jamani ma headmaster walikuwa zamani,leo hii hamna kitu mi nawaona ma brazameni tu!

kitu Mr Teti nyie fundisheni topic zoote logic ya kwake...fisadi lile bora liliamishwa

Dah!jamani ma headmaster walikuwa zamani,leo hii hamna kitu mi nawaona ma brazameni tu!

Halafu sukari,blueband na vitafunwa ni jukumu la huyo dogo.
Kwanjeka noma,kuna mother mmoja tulimkamata mwanae kwa wizi wa viatu,alipotonywa kuhusu mwanae kukamatwa na wanafunzi,alikuja mkuku na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine,wote tulitoka nduki tukamwacha yeye na mwanae.
Umenichekesha sana!!
Nakumbuka pale Mzumbe SEC ukiumwa Malaria unapewa SOFT DIET(Wali topetope na kabichi). Basi watu tulikuwa tunaumwa kila siku. Tatizo sasa mpaka Daktari wa shule(hata sio daktari), akuandikie(21days SD). Hapo ndugu chereko tu hahaha
Day fom one waliteswa kama kawaida!bora tuliosoma day...

Jamaa yangu mmoja Tosa (A-leve), alienda Ipamba Hospital akafoji diet, kuja shule akaanza kufurahia maisha kwa kula wali (bokoboko) baada ya kama wiki 2 hivi akakinai lile bokoboko akaenda kwa stoo kipa na kumwambia...." sasa mzee naomba lile bokoboko liwe gumu gumu kidogo"