Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 293
Ahahaah!story kama hii nilipewa na mdogo wangu aliyesoma pale Iyunga kwa kisusange!jamaa waliamua kuchukua wali kwenje ndoo na maharage kuweka kwenye loka,mbabe mmoja c akalipindua loka juuu chini,ndanio ya loka kulikua na nguo daflari nk,plus wali na MAHARAGE SITASAHAU SIKU IYO MMBABE WA KIKURYA KAPATA MJANJA WA KIFIPA C UNAJUA WANAANZA KUSOMA WAKIWA WAKUBWA ,
Me niliambiwa nenda bweni(jina kapuni) ukwamuulizie jamaa anaitwa Bunsen burner!!! LOH! Nilipofika hapo bwenini jamaa wanistukia kuwa
nimeingizwa mkenge nao wakanambia ametoka nimsubiri kama dakika sita hivi atarudi!! ndugu niliuza chai mpaka nikakoma, baadae ndo
wakanielewesha.. nilimind we acha tu.
dah issue kama hii tushafanyiwa na msukuma mmoja(maduhu jilili),tena ilikuwa siku ya sikukuu,jamaa ali sepa na pilau lote,mayai,matunda na nyama za vyuku zooote!
Nakumbukuka niko sec Siha ,siku moja jioni kuna jamaa kutoka kigoma alienda kujisadia ,na alikuwa na Ada kwenye walet ghafla ikadondoka chooni,alikuwa form 6,akaanza kutindua choo kwa pembeni, akaingia na kuitoa ada ,bahati nzuri kulikuwa na vyoo vya kulenga set mbili.alinyoa nywele zote mpaka kwenye kope,he had a strange personality.
Umenikumbusha chaka langu huko daah! Yaani ilikuwa ukitaka kutoka nje (kwenda town) lazima usingizie ugonjwa, hapo unaenda huko na barua kibao jamaa wameagiza upeleke kuzipost, so fan kupokea barua nyingi shuleni ilikuwa ndo umaarufu wako kila mtu atakufahamu, basi ilikuwa nikufanya juhudi kuwa na madem kibao ili upate barua nyingi! SIJUI KAMA SIKU HIZI KUNA MAMBO HAYO. WALE WA CHAKA LA TOSA WATAKUMBUKA PIA!
Me nakumbuka 2livyokuwa golan(school) cku ya wal na nyama kuna jamaa 1 albeba wal wake akiendw dom kuula bas kuna jamaa mwngne akamgonga kwa baat mbaya bas ile saan yake ikadondoka na kujifunka chini,basi jamaa akamalizia 2 kumiminia mchuz palepale chini na akaanza kula mpaka anakalibia chini akaacha,daaaaaaaaaaah nlcheka balaaaaaaaaa