Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,239
Kuna studio moja "Meku studio" ndo tulikuwa tunakwenda kupiga picha,
unakuta maua yapo na radio cassette kabla hujapiga unauliza radio band ngapi hii akikwambia tatu unamwambia weka ile ya band 12 la sivyo sipigi picha...
Those where the days!
ha haaa, ntakosaje sasa rafiki wakati natakiwa kukumbushia enzi?
saaana tu....Kweli dada yangu, ya kale ni dhahabu!
halafu mnasema fashion za siku hizi......
Charminglady usipoteze mwelekeo, lol!Unapakumbuka hapa mkuu platozoom???? Hapo ni kwa Khan bana.................
Enzi za NUTA Jazz Band - Pongezi Wakulima.
Kitu kinavuta hisia balaa, unaweza kweli kurudiana na uliyetalikiana naye maana hisia hizo dah, hadi raha, big up wa enzi hizo.
umeonaeeehkweli hakuna jipya chini ya jua...style zote hizo zimesharudi..!!!