enzi izo...

enzi izo...

zamani8.jpg



Hivi huyo anayecheza juu kulia na kuchungulia chupi ya huyo mama siyo waziri mkuu Pinda kweli?
 


Hii kali, yaani brief case ya studio, sigara ya studio, lofia ya studio, uwa la studio, koti la studio, na hako kijimeza kilichooza pia cha hapo studio. Kwa vyovyote huyu alikuwa anatisha sana huko mitaani akitembea na hii picha yake, tena inaelekea alikuwa hatongozi mademu, yeye anaonesha tu picha basi kina mama wanaanguka chini kumuona Origino CEO na kumgombania. Dah raha kweli hii mtu unaonyesha picha tu then unachukua bila hata papara.
 
Kuna Jamaa Juzi alikuwa anacheza mziki pale wallet pub, nashindwa kutofautisha na hizi style, na alikuwa ndio kivutio pub nzima.


Siyo kituko bali alikuwa anakumbuka enzi zake kwani siku hizi hakuna muziki wa kweli kila kitu computer then mtu anajiita mwanamuziki wakati hajuwi hala hata moja ya muziki.
 
Du aise nakupa credit zote, umenikumbusha mbali sana enzi za moniyafinda, engunduka ,masua ,mbale vitu vya kamale aise we noma.
 
Du aise nakupa credit zote, umenikumbusha mbali sana enzi za moniyafinda, engunduka ,masua ,mbale vitu vya kamale aise we noma.


Si kweli. Moni Afinda - Orch: Kiam. Engunduka - Zingzong ya Veve Stars, Masua (Assossa) Orch: Les Kamale, na Mbale - Orch: Kiam, ila pia palikuwa na Lipua Lipua, Fuka Fuka, Kamavasty, Shamashama, Bella Bella, we acha tu. Muziki ulikuwa kipindi kile si siku hizi kelele tupu na mambo ya computer.
 
Back
Top Bottom