Kinyerezi JF-Expert Member Jan 28, 2009 486 149 Jan 26, 2016 #3 mshana jr said: View attachment 319276 Click to expand... Umenikumbusha mambo ya long time ago Mshana Jr
mshana jr said: View attachment 319276 Click to expand... Umenikumbusha mambo ya long time ago Mshana Jr
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,761 730,025 Jan 26, 2016 Thread starter #7 Sibonike said: Ya pili iliitwa chai maharage Click to expand... Mpaka leo Zenji zipo
MANI Platinum Member Feb 22, 2010 7,318 6,391 Jan 26, 2016 #8 Kia katika ubora wake ! Lakini ziliua sana hizo chai maharage wakati zilipo anza kazi ukichukulia kuwa usukani ulikuwa kushoto!
Kia katika ubora wake ! Lakini ziliua sana hizo chai maharage wakati zilipo anza kazi ukichukulia kuwa usukani ulikuwa kushoto!
Sibonike JF-Expert Member Dec 23, 2010 17,294 18,027 Jan 26, 2016 #9 mshana jr said: Mpaka leo Zenji zipo Click to expand... Kabisa, lakini wanapanda na kushuka kwa ustaraabu kuliko ilivyokuwa Dar!
mshana jr said: Mpaka leo Zenji zipo Click to expand... Kabisa, lakini wanapanda na kushuka kwa ustaraabu kuliko ilivyokuwa Dar!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,761 730,025 Jan 26, 2016 Thread starter #11 EMMYGUY said: Hiyo ya chini naziona Zanzibar. Click to expand... Zinaitwa chai maharage kule sijui wanaziitaje
EMMYGUY said: Hiyo ya chini naziona Zanzibar. Click to expand... Zinaitwa chai maharage kule sijui wanaziitaje
mgodi JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,780 1,846 Jan 26, 2016 #12 Miaka ya 80s, nilikuwa nakaa majumba 6 , nimepanda sana hizo
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,978 3,888 Jan 28, 2016 #13 Sibonike said: Ya pili iliitwa chai maharage Click to expand... Enzi ya Mzee RUKSA!!!!!