Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,052
Nadhani hujaelewa dhana ya kuitana MKUUAiseeeee kumbe humu tuna watoto kabisaaa.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Alafu unakuta tunakuita eti "mkuu"
Nadhani hujaelewa dhana ya kuitana MKUUAiseeeee kumbe humu tuna watoto kabisaaa.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Alafu unakuta tunakuita eti "mkuu"
kipindi hicho tulikua tunaita bazoka..nlikua napenda kununua vitu vitamu vitamu sana hasa nikitoka shule na kwa thamani ya hiyo pesa ilikua inanitosha kabisaPipi!?
kipindi hicho tulikua tunaita bazoka..nlikua napenda kununua vitu vitamu vitamu sana hasa nikitoka shule na kwa thamani ya hiyo pesa ilikua inanitosha kabisa
Upo karibu na thamaniBazoka keki na mirinda na bado chenchi inabaki
miaka hiyo haiwezi rudi tena,sasa fedha yetu imekuwa pesa ya madafu haina thamani kabisa
Sio ice cream sema askirimu [emoji16]ice cream...ilikuwa sh 1 ..na mihogo ya kukaanga @1 shilingi 1/=..hapo ni mihogo 4 na ice cream...hyo nakumbuka ndy pesa ya shule hyo....kila siku napewa 5/=
Sasa umri huu ukisema ashkirimu ni sawa na jitu zima kusema NITAKU DEEP badala ya KUBEEPSio ice cream sema askirimu [emoji16]
hahahahaSasa umri huu ukisema ashkirimu ni sawa na jitu zima kusema NITAKU DEEP badala ya KUBEEP
Hivi huyo ng'ombe bado hajakuwa mkubwa tu? Vyuma vimekaza[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Thamani ya fedha yetu ilipokuwa juuView attachment 623054
ice cream...ilikuwa sh 1 ..na mihogo ya kukaanga @1 shilingi 1/=..hapo ni mihogo 4 na ice cream...hyo nakumbuka ndy pesa ya shule hyo....kila siku napewa 5/=
hahahaha, aiseeBazoka keki na mirinda na bado chenchi inabaki
Sasa umri huu ukisema ashkirimu ni sawa na jitu zima kusema NITAKU DEEP badala ya KUBEEP
Wewe ni mhengaice cream...ilikuwa sh 1 ..na mihogo ya kukaanga @1 shilingi 1/=..hapo ni mihogo 4 na ice cream...hyo nakumbuka ndy pesa ya shule hyo....kila siku napewa 5/=
MhengaBazoka keki na mirinda na bado chenchi inabaki
Sio ice cream sema askirimu [emoji16]
😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa umri huu ukisema ashkirimu ni sawa na jitu zima kusema NITAKU DEEP badala ya KUBEEP
Maandazi MatanoThamani ya fedha yetu ilipokuwa juuView attachment 623054