Enzi hizo

Enzi hizo

Mlanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,023
Reaction score
467
Thamani ya fedha yetu ilipokuwa juu
IMG-20171102-WA0001.jpeg
 
si pipi tu..kama kuna kingine basi nilichelewa kuzaliwa
 
Nauli ya kwanza ya daladala, na sababu kubwa kwa huo usafiri kupewa jina la daladala...
 
Mihogo ua kichemsha na siki kwenye bakuli+gubiti,palikuwa hapatoshi ukiwa nazo 2 hizo
 
Back
Top Bottom