Enzi hizo

Enzi hizo

1475568485162-jpg.411866

mshana jr please niko tayari kuforwad umri wangu mbele ili nikakutane na huyu mrembo wa zamani...Ni adimu sana rangi hizi kupatikana kwenye uongozi wa awamu hii ya ndugu Pombe!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku hizi mi naona kuna tofauti na zamani,kipindi kile fashion ikiingia inaingia kwa kila mtu ndani ya nyumba Baba,mama na watoto wote mnaingia kwenye hiyo fashion,kwahiyo hakuna wa kumuona mwenzie muhuni,ila siku hizi fashion inaingia wazee wana simama na zile za zamani na kuwaachia vijana waingie kwenye hiyo fashion na hatimaye kuna anza kuibuka maneno ya kuwa vijana ni wahuni.Anyway sijui kimetokea nini hapo.
Kwa hiyo na wazee wapige kata K?
 
Mwalimu anaandaa vipindi,anachukua points kwenye kipindi cha masomo redioni. Inawezekana inatajwa baraza jipya la mawaziri na manaibu wake, hapo mwalimu lazima uwe updated, maana kijiji kizima kinakutegemea kwa current issues
 
Nidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Dah!!!!!
 
Weee ishia hapo hapo!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yalikupata nini? Nilikatwa denge sababu ya kukosa msusi sababu nilikuwa siwezi kusuka nikawa dumejike hapo sasa. Kesho yake nikakumbana na CO niliambiwa nioteshe nywele kwa siku sita. Hapo sasa. Mimi adhabu kila siku na nywele kipilipili. Bwanawe Kambi ya michezo ilinisave Mungu si athumani.
 
kila zama na swaga zake [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Picha moja inachukua nusu saa kupigwa
Picha ikipigwa ndo imepigwa[emoji1] [emoji23]
Hata kama umekosea pozi hakuna kudelete labda ulipie gharama ya picha nyingine. Mpaka picha isafishwe inaweza kuchukua mwezi mpk mkanda uishe
 
Back
Top Bottom