Enzi hizo

Enzi hizo

1475566147372-jpg.411839
hawana hata dalili ya kibamia! hawa ndo wanaume bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji87]
 
Nidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Duu thanks kwa kumbukumbu mujarabu
 
Nidhamu ya kazi ni ushindi[emoji444] [emoji450] na mafanikio mema kazini eeeh[emoji442] [emoji444] viongozi na wafanyakaziii[emoji445] lazima wote tuwe na nidhamuuu[emoji450] [emoji443] migogoroo[emoji445] na migonganooo.. ya kazini ni upotofu wa nidhamuu[emoji450] [emoji443] [emoji444]
Masahihisho kidogo ni msingi
Na mwisho ni ukosefu wa nidhamu sio upotofu ila Shukran hapo utamsikia rehani bitchuka anavyompanda "viongozi wajibu wenu mkubwa ni kudumisha nidhamu ya kazi kisha almarhumu gurumo anaitikia migogoro....
 
why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]
Mahitaji ya nyakati
 
Enzi hizo ukitaka kupiga picha.....unajiandaa kuanzia asubuhi kama vile unaenda safari........

Hasa kwa mwanamke....bila ya gauni la kipaimara au la maulidi bado hajapendeza........

Enzi hizo watu tuna miaka 20 lakini tunaoga mtoni na mabinti wakubwa kabisa tena uchi wa mnyama....lakini unaona kawaida.......

Enzi hizo kijana akitongoza binti ni kesi kubwa sana kijijini....kesi ambayo inakutanisha familia mbili kujadili suala hilo......na kama huyo kijana ni mgeni hapo kijijini anaweza akatimuliwa........

Enzi hizo siku ya siku kuu unanunua karanga...unajaza mifuko....kazi yako kutafuna tu.......

Au kama kwenu hali mbaya unachoma hindi lako....unapukuchua unatia mfukoni unaenda nao sawa watoto wa kishua......

Enzi hizo mtu ukiwa mwalimu unatembea kifua mbele.....huku ukijidai.......
 
why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]

Hata zamani pia zilikuwa ni style za wahuni.....
 
why sisi tukipiga hizo staili wazazi wanatuona wahuni wakati ndio ilikuwa staili zao[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji51]
Siku hizi mi naona kuna tofauti na zamani,kipindi kile fashion ikiingia inaingia kwa kila mtu ndani ya nyumba Baba,mama na watoto wote mnaingia kwenye hiyo fashion,kwahiyo hakuna wa kumuona mwenzie muhuni,ila siku hizi fashion inaingia wazee wana simama na zile za zamani na kuwaachia vijana waingie kwenye hiyo fashion na hatimaye kuna anza kuibuka maneno ya kuwa vijana ni wahuni.Anyway sijui kimetokea nini hapo.
 
Back
Top Bottom