Enyi wanawake!!!

Enyi wanawake!!!

mkuu kuna mama wengine wana gubu mpaka mtoto mwenyewe anakubali kuwa jamani mi mwenzenu mama yangu acheni tu naomba wife asiwe hivi jamani,si wote wanaowish wake zao wawe as their mamas inategemea na mazuri ya mama yake,na hata kama kila moja ana mazuri yake lakini bado mabaya ni mabaya na mazuri ni mazuri tu so hata kama ni mama au baba au whoever kama ana mabaya utayaona na mazuri utayaona tu.

yeah chaeating zote hazikosi visingizio so naona na wewe kisingizio chako ni searching for a woman with characters like your mama au siyo mkuu?

Hahahahaa..mkuu sijafikia hapo.

Ulichosema kina ukweli na nakubaliana na wewe 100%. Ila pia kama pamoja na gubu zake ana mazuri yake ambayo hata ukikaa mbali unayamiss. Na kwa kuwa kila mtu anapenda mazuri basi mazuri+upendo, mabaya yanazikwa. So whatsoever the character ambazo mama anazo bado kuna ambazo kijana atahitaji sana mke wake awe nazo.
 
mkuu nimekusoma ila naomba kama hujaoa au kama ushaoa naomba uwe makini sana na kuhusu uwiano wa mkeo na mama yako,kwani inaonyesha mama yako unampenda sana na hiyo ni wazi kuwa unamsikiliza sana,na mkuu kati ya matatizo yanayoharibu kabisa ndoa ni kucheat na kusikiliza au kuhusisha ndg wa pande yeyote ile katika maisha yenu ya kila siku,mkuu ndoa hapo inakuwa ndoano.
Hahahahaa..mkuu sijafikia hapo.

Ulichosema kina ukweli na nakubaliana na wewe 100%. Ila pia kama pamoja na gubu zake ana mazuri yake ambayo hata ukikaa mbali unayamiss. Na kwa kuwa kila mtu anapenda mazuri basi mazuri+upendo, mabaya yanazikwa. So whatsoever the character ambazo mama anazo bado kuna ambazo kijana atahitaji sana mke wake awe nazo.
 
Ahsante...Umenipa maelezo mengi lakini hakuna hata sehemu moja uliyojibu nilichokuuliza....

Ulipokuwa unakojoa kitandani ulipewa karipio liwe viboko au vinginevyo..na mpaka leo unafahamu kukojoa kitandani sio staha.

Hata biblia inasema "mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee". Ninachotaka kusema ni kwamba kile ulichofundishwa au jinsi ulivyokuwa treated kina impact endelevu katika maisha ya mtu. Wewe hapo leo ukiambiwa "baby hili shati silipendi, vua vaa lile pale"....unavua tena huku unachekacheka, je tuseme hujapevuka akili???
 
Upendo kwa mama haukomi;
Siyo kwetu wa kawaida tu hata kwa wenye nafasi kama huyu hapa:
......... Prince William Gives Kate Middleton Princess Diana's Engagement Ring
Ni upendo gani Prince William alikuwa nao kwa mama yake pamoja na kwamba
alishatwaliwa miaka mingi iliyopita. Angalia picha
kate-middleton-03-500x375.jpg
 

nyie chitini tu coz mmezoea
msitafute sababu bana!!hata sisi
baba zetu hua wanatujali sana tu!!

 
Back
Top Bottom