Mkewe ni Bi nyakomba
kuwa makini huko zenj man, bado bara twakuhitaji
Huyu anataka ugomvi sio bure...... Smiling Saint kitu chenye ncha kali kitakuhusu.copy: Mwanyasi
kwa iyo mkuu wewe roho tuuu, huko kwingine unabaachia?
Hahaha...nimerudi mkuu, roho na mwili vyote nimerudi navyo, zaidi nimerudi na mtoto wa kimanga...
Niandike COPY?