namtafuta huyo member aliyenifanyia hii kitu aisee,...
mm nilikuwa mdau mzuri sana wa JF lakini kwa sasa kila nikijaribu kugusa JF humu nateleza, erick b52 na Smiling Saint mnisaidie
kanipa mupya,..galaxy SIII pacha, ila bado mzuka haujaja...
Nicas Mtei yule mama mjamzito alokufungia ndani hadi ajifungue hajakuachia?kimbia kijana acha kulelea mimba za watu
halafu anataka kuja na fujo, mwambie kila anapotaja jina la Smile atangulize neno "shemeji"
mpe hela atafikisha. Sio mke. Hafai huyo