enyi wana JF nani aliyenilogaaa?

enyi wana JF nani aliyenilogaaa?

karibu sana Mkuu BAGAH, ulipotea sana mkuuu!! au ofisini kuna bosi mpya au kazi ulibadili?
 
Last edited by a moderator:
Kusema la ukweli huyu BAGAH aliniaga....
Alisema anaenda kubeep maliwato!!!
 
Last edited by a moderator:
karibu sana Mkuu BAGAH, ulipotea sana mkuuu!! au ofisini kuna bosi mpya au kazi ulibadili?
asante sana mkuu wangu,..nimepata boss wa kihindi bana,..naomba uwe unaniDIP kila siku kunikumbusha kuingia JF aise,..i missed you guys
 
Kusema la ukweli huyu BAGAH aliniaga....
Alisema anaenda kubeep maliwato!!!
khaaa hata kama ni kipindupindu ningekuwa nimeshatoka watu8..
afu nimekuaona hapa mlimani city nakuita hata haugeuki
 
Last edited by a moderator:
asante sana mkuu wangu,..nimepata boss wa kihindi bana,..naomba uwe unanidip kila siku kunikumbusha kuingia jf aise,..i missed you guys


nikikuona tu unanikumbusha geita na bukoba!!
 
Back
Top Bottom