enyi wana JF nani aliyenilogaaa?

enyi wana JF nani aliyenilogaaa?

khaaa hata kama ni kipindupindu ningekuwa nimeshatoka watu8..
afu nimekuaona hapa mlimani city nakuita hata haugeuki

labda utakua umemuona mdogo wangu mkuu...mie nipo Zanziberi sasa nala rojorojo na pweza wa Forodhani
 
Last edited by a moderator:
labda utakua umemuona mdogo wangu mkuu...mie nipo Zanziberi sasa nala rojorojo na pweza wa Forodhani

kuwa makini huko zenj man, bado bara twakuhitaji
 
Back
Top Bottom