Vaeni mavazi ya ujasiri.
Vaeni gloves za uzalendo.
Fungeni mikanda ya maamuzi.
Kwa mkijua, nchi inauzwa.
Ngorongoro imeuzwa.
Bandandari imeuzwa.
Pori la Loliondo limeuzwa.
Madini yameuzwa.
Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu?
Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu.
Yote haya yanafanywa kwa faida ya nani?
Uzalendo siyo utii wa mambo hata yale ya hovyo, bali ni kuhoji, kuchuja na kuyafanyia kazi mambo yenye tija.
Mpira upo mikononi mwenu.
Bado siku 4 tu!