Enrique Iglesias

Enrique Iglesias

kwa lipi mkuu? unapoongelea Julio pengine unaongelea moja ya sauti ya kipekee kabisa ya mwanaume, ni legend of all time, enrique hajui kuimba anategemea tu computers, lete live show yoyote akiimba live.

kumbuka auto tune hata wewe inaweza kukufanya ukawa mkali hata kama una sauti mbaya.
Dah,Dah....Ngoja nirudi youtube...
 
Tukisema LIVE.. Sia anaingia kwa Mariah Carey?
mkuu nafikiri hawa wapo vizazi viwili tofauti, waimbaji wote wa 90s kushuka ni genuine maana auto tune ilikuwa haijagunduliwa bado.

mimi nafananisha hawa wa sasa vizazi vya .com, na mariah baadae career yake ina scandal nyingi tu za kutumia playback.
 
mkuu kwanza nikisema kuimba simaanishi studio version, namaanisha ujue kuimba real life.

sia anajua kuimba, angalia live show zake, nenda youtube tafuta chandelier live version yoyote msikilize utaelewa ninachotetea.
Wasanii wa ulaya na America wapo vizur kwenye show zao na wengi wanatembea na band zao jukwaan anaimba live sio kuplay wimbo alaf afatilizie kama hawa wa bongo. We tafta ata show za akina pink uone tu
 
Takin back my love
emoji26.png
Hilo pina kwikwi....dah Ciara at his best.🙌
Anaesema Enrique hajui kuimba daah pole yake sana. Era haziwezi kufanana baba yake alikua bora wakati huo na Enrique ni bora kwa wakati wake haijalishi ni vifaa gani walitumia
Kama Dingi aliimba kumzidi Enrique? Hata Michael Jackson hamkuti huyo Dingi....Yani Dingi zaidi hata ya M.J
 
mkuu nafikiri hawa wapo vizazi viwili tofauti, waimbaji wote wa 90s kushuka ni genuine maana auto tune ilikuwa haijagunduliwa bado.

mimi nafananisha hawa wa sasa vizazi vya .com, na mariah baadae career yake ina scandal nyingi tu za kutumia playback.
Unamzungumziaje ALICIA KEYS... huyu bdo yupo na juzi tu katoa ngoma then mfananishe na huyo Sia.
 
Screenshot_20201120-221455.png

Mapenzi yangu juu ya Mziki.. Simu tu ina Ngoma 5000+ bado mi playlist Non stop za kutosha.. 😊
 
Wasanii wa ulaya na America wapo vizur kwenye show zao na wengi wanatembea na band zao jukwaan anaimba live sio kuplay wimbo alaf afatilizie kama hawa wa bongo. We tafta ata show za akina pink uone tu
loh unataka ushahidi wa video? kuna wasanii feki kibao marekani,

wana lip sync na autotune, mwanamuziki anaimba anatapika nyimbo inaendelea kuimba live, mwengine anaanguka nyimbo inaendelea kuimba, wanaojua kuimba live ni wachache kuliko fake.
 
Enrique Iglesias__Hero
Enrique Iglesias_Escap
Enrique Iglesias_Somebody Me
Enrique Iglesias__Why Not Me
Enrique Iglesias__Addicted
Enrique Iglesias__Only a Woman
Enrique iglesias Takin back my love ft Ciara.

Enrique Iglesias__Your my number One🙌🙌🙌

Enrique Iglesias ft Lonel Rich__ To Love a Woman.

Hizo ni baadhi ya Ngoma kali za Enrique Iglesias zile za Slow..

Ukitaka zile za KuParty.

Kuna

Bailando(English Version)
Subeme La Radio. N.k

Kwa sasa sijaona mtu hatari wa kumuweka mzani mmoja na huyo Mspanish.....Labda ED Sheeran Anaweza kujaribu....

Jamaa Atazeeka na ufundi wake.....Nani anaweza kuwa zaidi na hits kama za Enrique Iglesias kwenye Pop,Na Latin Pop...
Umeisahau MISS YOU
 
loh unataka ushahidi wa video? kuna wasanii feki kibao marekani,

wana lip sync na autotune, mwanamuziki anaimba anatapika nyimbo inaendelea kuimba live, mwengine anaanguka nyimbo inaendelea kuimba, wanaojua kuimba live ni wachache kuliko fake.
Wataje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom