Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,933
- 13,944
Enri'ki iglishiasHasa hilo LA pili.. Weka pronunciation take hapa
Enri'ki iglishiasHasa hilo LA pili.. Weka pronunciation take hapa
Kwa nyimbo ipi mkuu The Greatest? 😂 Kuna watu wanaimba jamani.. em fatilien vizuriSia jembe mkuu, Sia na Bruno mars pengine ndio best katika kizazi chetu hiki.
Nisimjue Dua Lipa? Dua anaimba fresh namkubari....Lkn sio kwa Sia ...Sia hata Rihanna anaomba maji...je Dua Anaweza kusimama na Sia.Nafkiri humtambui Dua Lipa vizuri..
Nafkiri humtambui Dua Lipa vizuri..
Dunian hakuna alieokoka bado ila kuwa wokovuNamfahamu,ila kwa sasa siwezi kumsikiliza,ukiokoka huwa kuna configuration ya ajabu moyoni mwa mtu baadhi ya mambo yasiyo upande wa mila ya mbinguni yanakosa nguvu ndani ya mtu
nadhani kila Mtu ana test yake SIA kwa upande wangu hamgusi beyonceKwa Kina Mama hata Beyonce,rihanna,taylor swift kwa Sia hawagusi..
Sikiliza Greatest,Chandelier,Unstopable,Helium,Elastic Heart hizi baadhi tu
Labda radha hapo nakubali Kaka ...Lkn Sia🙌nadhani kila Mtu ana test yake SIA kwa upande wangu hamgusi beyonce
mkuu kwanza nikisema kuimba simaanishi studio version, namaanisha ujue kuimba real life.Kwa nyimbo ipi mkuu The Greatest? 😂 Kuna watu wanaimba jamani.. em fatilien vizuri
kwa upande wangu namrate kawaida tuLabda radha hapo nakubali Kaka ...Lkn Sia🙌
Hivi ashawahi kuona Live Perfomance Ya Sia? 😂mkuu kwanza nikisema kuimba simaanishi studio version, namaanisha ujue kuimba real life.
sia anajua kuimba, angalia live show zake, nenda youtube tafuta chandelier live version yoyote msikilize utaelewa ninachotetea.
Mi Beyonce sijawahi kuona maajabu yakekwa upande wangu namrate kawaida tu
Ila Enrique ni top
Na nahisi huo wimbo umeuskia siku hizi mbili tatu.. kwa hits za Dua lipa sitaanza na huo Wimbo unaweza ukawa wa Mwisho ktk list..Nisimjue Dua Lipa? Dua anaimba fresh namkubari....Lkn sio kwa Sia ...Sia hata Rihanna anaomba maji...je Dua Anaweza kusimama na Sia.
Ila kuna mdundo unaitwa Scared to be Lonely nimeshindwa kuuchoka Dua Lipa kauwa mno....sijui unaujua???
Youtube ikusaidie
Oky lkn mm pia sikuwahi kuona maajabu ya Dua Lipa kivile,hapana hapana ni kawaida tu...Na nahisi huo wimbo umeuskia siku hizi mbili tatu.. kwa hits za Dua lipa sitaanza na huo Wimbo unaweza ukawa wa Mwisho ktk list..
Kuna Wasanii nikikutajia hapa utaanza kubabaika.. all in all.. Sia kwa upande wangu ni msanii wa kawaida mno
Tukisema LIVE.. Sia anaingia kwa Mariah Carey?mkuu kwanza nikisema kuimba simaanishi studio version, namaanisha ujue kuimba real life.
sia anajua kuimba, angalia live show zake, nenda youtube tafuta chandelier live version yoyote msikilize utaelewa ninachotetea.
Kama kuna mtu aliandika Aaaaah🙌Wadau ile hero alitungiwa na nani?
Ngoma tamu balaa.
Whtiney Houston???Tukisema LIVE.. Sia anaingia kwa Mariah Carey?
Na Dua Lipa nimemtaja tu kwa haraka haraka.. kuna Vyuma vipo vinajiweza na ktk mainstream za huku Bongo ni ngumu kukutana na hits zao.. wanajiweza mnoOky lkn mm pia sikuwahi kuona maajabu ya Dua Lipa kivile,hapana hapana ni kawaida tu...
Ntajie wa3 Mkuu,tupeane faidaNa Dua Lipa nimemtaja tu kwa haraka haraka.. kuna Vyuma vipo vinajiweza na ktk mainstream za huku Bongo ni ngumu kukutana na hits zao.. wanajiweza mno
Celine Dion?? tena kaangalie Live yake akiimba To love you moreWhtiney Houston???
kwa lipi mkuu? unapoongelea Julio pengine unaongelea moja ya sauti ya kipekee kabisa ya mwanaume, ni legend of all time, enrique hajui kuimba anategemea tu computers, lete live show yoyote akiimba live.Enrique Iglesias hamkuti dingi yake? Stop joking Bro