Enrique Iglesias

Enrique Iglesias

Hakuna kama SIA narudia hakuna kama SIA We jamaa hakuna mwanamziki anaemshinda utungaji Sia Umenielewa.!
 
Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Kuna nyimbo za mnazoziita za kidunia zina ujumbe mzuri kuliko hizo za dini. Wimbo kama cry wa MJ ni bora zaidi ya nyimno 100 za dini.

By the way, kila mtu ana njoa zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom