Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Sijui ni Chazinga sijui ShoznigaEbu malizia hilo jina la mwisho 😂😂😂😂😂😂
Sijui ni Chazinga sijui ShoznigaEbu malizia hilo jina la mwisho 😂😂😂😂😂😂
Mkuu usizime data nipe somo chap
Boomplay wanashindwa tu kuniambia inatosha jinsi navyourudia hiyo ngoma...Sijui ni Chazinga sijui Shozniga
Hilo pini homa mkuu![]()
1. anza na king wao kabisa Justin bieber, mwisho wa hii video anatapika na mziki unaendeleaWataje
1. anza na king wao kabisa Justin bieber, mwisho wa hii video anatapika na mziki unaendelea
2. then queen wake selena Gomez
sekunde ya 59 hapo.
3. wengine wengi kina beyonce, Lady gaga, Ariana, Mariah carey etc.
youtube tu lip sync fails zitakuja za kutosha.
wa zamani wapo vizuri hilo halina shaka, maana chombo cha kufake sauti kilikuwa hakijagunduliwa.Labda hawa wa sasa ila wale wa zaman wapo good
Earth song ya Michael JacksonKuna nyimbo za mnazoziita za kidunia zina ujumbe mzuri kuliko hizo za dini. Wimbo kama cry wa MJ ni bora zaidi ya nyimno 100 za dini.
By the way, kila mtu ana njoa zake.



Hujakosea kabisa, ila Baba yake ambaye ni Julio Iglesias alikuwa mchezaji wa Real Madrid Castilla nafasi ya GKFundi sanaa huyoo jamaaa
Ila anasura ya kimpira sana yani angefaa sana acheze nafasi ya kiungo kama farbegas![]()
wapo wengi mkuu, maarufu ninaoweza kuwakumbuka haraka, bruno mars, Adele na Sia.Taja sasa hao wanaopafomu bila msaada wa vyombo vya muziki
Tamka hivi, "Enrik Igleshas"Hasa hilo LA pili.. Weka pronunciation take hapa
P!nkTaja sasa hao wanaopafomu bila msaada wa vyombo vya muziki
Leona lewis
hebu nioneshe cover nzuri za chandelier kumshinda Sia?Alicia anapiga vyombo vya Mzki na Anaimba Live.. huyo ndio Mtumbuizaji Bora.
Pili kukataa wimbo ni kawaida kwa Msanii sio kila wimbo ni wa kuimba, ndio maana Cover's nyingi zinakuwa nzuri tafuta Cover's za hiyo nyimbo ya Titanium then huyo Sia utamuona Kuku tu.



Nikipata Muda ntaweka hapa.hebu nioneshe cover nzuri za chandelier kumshinda Sia?
Ndani ya dakika 3?!! Give me a break!!Bro umfuatilie Sia. hakuna Mwanamuziki wa kike anaeweza kufikia note za Sia,Kuna hits za kina Beyonce zimeandikwa na Sia.
Ile Diamond ya Rihanma yenye views zaidi ya Bilion 1 iliandikwa na Sia tena ndani ya dakika 3 tu.
Hivi Battle ya Hit Sia na Dua Lipa,Dua Lipa anakula K.O chap tu
Google ikusaidie😀Ndani ya dakika 3?!! Give me a break!!
Colum ScottP!nk
Mariah Carey tafta show zake za miaka ya 2000<
Ed Sheeran
James Blunt
Kelly clarkson
Hao ni baadhi tu