Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,553
Sawa ipo very clear nakubali.Unataka mjadala au unataka kuokoka ndgu,biblia iko very clear isome utaelewa tu
Nimekuuliza swali biblia inasemaje kuhusu mtu kuokoka?
kama haijazungumzia..Je unafuata maagizo na propaganda za mchungaji wako au neno la biblia?
