Ile aliandikiwa dada mmoja anaitwa Julietha Gonzalez ni jirani yake na msakata kabumbu wa Barcelona Andres Iniesta.Wadau ile hero alitungiwa na nani?
Ngoma tamu balaa.
Real Bro, Sio uongo fuatiliaUongo
😂😂😂😂😂yule Mama....Dah...R.i.pNi mkali sawa..ila kwenye Could I have this kiss forever alikimbizwa vibaya na Whitney Houston![]()
Sasa huyo Sia anamfikia DUA LIPA?
Mariah Carey?
Nani underground?Ha ha we jamaa Sia unamcompare na huyo Dua Lipa ambaye bado yupo kwenye u-underground, Dua Lipa level zake labda akina Jess Glyne na Mabel.
Alicia anapiga vyombo vya Mzki na Anaimba Live.. huyo ndio Mtumbuizaji Bora.
Pili kukataa wimbo ni kawaida kwa Msanii sio kila wimbo ni wa kuimba, ndio maana Cover's nyingi zinakuwa nzuri tafuta Cover's za hiyo nyimbo ya Titanium then huyo Sia utamuona Kuku tu.
Jamaa kaniacha sanaa😀😀😀 Alafu anakaza kinoma😀Ha ha we jamaa Sia unamcompare na huyo Dua Lipa ambaye bado yupo kwenye u-underground, Dua Lipa level zake labda akina Jess Glyne na Mabel.
Fuatilia then urudi kurekebisha comment yako.Uongo
Sia gani unaemuongelea mkuu asije akawa hosia mwakyusaAlicia anapiga vyombo vya Mzki na Anaimba Live.. huyo ndio Mtumbuizaji Bora.
Pili kukataa wimbo ni kawaida kwa Msanii sio kila wimbo ni wa kuimba, ndio maana Cover's nyingi zinakuwa nzuri tafuta Cover's za hiyo nyimbo ya Titanium then huyo Sia utamuona Kuku tu.
Nani underground?
Enlik igleshazYaaah huyu jamaa ni mkali.. Ila mtoa mada naomba Pronunciation ya hilo jina la msanii husika( Yote Mawili) kwa kiswahili kabisa maana linanitoa jasho
Hajui kitu huyo achana nayeReal Bro, Sio uongo fuatilia
😂😂😂😂😂😂😂 Sia Janga lile labda Adele anaweza kukaa kwenye mzani wa SiaSia gani unaemuongelea mkuu asije akawa hosia mwakyusa
Kuna watu wamazaliwa na vipaji, tena kwa mziki wa enzi hizo ukiona mtu mweusi katoba USA jua alikuwa ni hatar😂😂😂😂😂yule Mama....Dah...R.i.p
Wacha ninyamaze... Mambo yasiwe Mengi.Dua, bado hajafika level za kupambanishwa na manguli wa muziki!!
Kwa maoni yangu baba yake Julio Iglesias alikua mkali zaidi kwa tunzi na sauti. Pia alikua na talanta nyingine kama kipa mahiri wa sokaBaba yake aliwahi kuwa nyanda pale Real Madrid kitambo kidogo
Ne-yo above MJ? Like serious?My list
1-EnriQue
2-Ne-yo
3-J-Timberlake
4-Adam Levine
5- Guess what...! Michael Jackson.