Enrique Iglesias

Enrique Iglesias

Unamzungumziaje ALICIA KEYS... huyu bdo yupo na juzi tu katoa ngoma then mfananishe na huyo Sia.
mkuu alicia anajua sio kuimba tu hata maisha yake sio fake. sema bado kwa sia, vipaji mkuu viangalie live sio kwenye hizi studio version. pengine Mtu mkali level za Sia labda Adele hivi?

halafu sia ana katabia fulani anaandikia wanamuziki wakubwa Nyimbo, kuna baadhi wanazikataa, wakikataa anaimba mwenyewe.

mfano ni Titanium Alimuandikia Alicia, akaja Akaiimba mwenyewe, pengine toka Itoke Titanium Alicia hajawahi toa Ngoma kali kama hio.
 
Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 iliyopita hivi sina time na mziki wa kidunia
Chochote kinachofanyika na kilichopo chini ya jua ni design yake huyo yesu.
 
loh unataka ushahidi wa video? kuna wasanii feki kibao marekani,

wana lip sync na autotune, mwanamuziki anaimba anatapika nyimbo inaendelea kuimba live, mwengine anaanguka nyimbo inaendelea kuimba, wanaojua kuimba live ni wachache kuliko fake.
Labda hawa wa sasa ila wale wa zaman wapo good
 
mkuu alicia anajua sio kuimba tu hata maisha yake sio fake. sema bado kwa sia, vipaji mkuu viangalie live sio kwenye hizi studio version. pengine Mtu mkali level za Sia labda Adele hivi?

halafu sia ana katabia fulani anaandikia wanamuziki wakubwa Nyimbo, kuna baadhi wanazikataa, wakikataa anaimba mwenyewe.

mfano ni Titanium Alimuandikia Alicia, akaja Akaiimba mwenyewe, pengine toka Itoke Titanium Alicia hajawahi toa Ngoma kali kama hio.
Titanium ft David Guetta🙌
 
Alicia anapiga vyombo vya Mzki na Anaimba Live.. huyo ndio Mtumbuizaji Bora.

Pili kukataa wimbo ni kawaida kwa Msanii sio kila wimbo ni wa kuimba, ndio maana Cover's nyingi zinakuwa nzuri tafuta Cover's za hiyo nyimbo ya Titanium then huyo Sia utamuona Kuku tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom