Enrique Iglesias

Enrique Iglesias

Heal the world,labda pombe zinawachnganya
😂 😂 😂 😂
Labda tuseme kila mtu na machaguo yake, ila kusema eti 'sisikilizi kwa kuwa hizo nyimbo ni za kidunia na mimi ni mwanadini' ni ulimnukeni tu wa kidini usio na maana.

Kwa MJ peke yake, ukisikiliza nyimno kama; heal the world, earth song, we are the world, cry, a stranger in moscow, zinakufanya upate hisia za kutafakari kuhusu maisha katika njia ya pekee kabisa, hisia ambazo ni ngumu kuzipata hata kwenye hizo nyimbo za injili.

Kuna nyimbo za gospel unaweza sikiliza hadi unajisemea 'si bora hata nisikilize earth ya lil dicky'😂😂😂
 
Labda tuseme kila mtu na machaguo yake, ila kusema eti 'sisikilizi kwa kuwa hizo nyimbo ni za kidunia na mimi ni mwanadini' ni ulimnukeni tu wa kidini usio na maana.

Kwa MJ peke yake, ukisikiliza nyimno kama; heal the world, earth song, we are the world, cry, a stranger in moscow, zinakufanya upate hisia za kutafakari kuhusu maisha katika njia ya pekee kabisa, hisia ambazo ni ngumu kuzipata hata kwenye hizo nyimbo za injili.

Kuna nyimbo za gospel unaweza sikiliza hadi unajisemea 'si bora hata nisikilize earth ya lil dicky'
Si ndio hapo,MUNGU aliwaymba wale watu na talent ya ajabu,kuna watu kama kina bob marley,MJ ukisikiliza nyimbo zao unaona kabisa hapa huyu ni zaidi ya msanii,,Idea kama ya wimbo wa thriller unashindwa kuwaza huyu mtu aliwaza wapi,,Earth n.k daa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom