Enoki ameuwawa video yake imetrend Sasa raia wanaanza kuiga mfumo unavyoteka watu.

Enoki ameuwawa video yake imetrend Sasa raia wanaanza kuiga mfumo unavyoteka watu.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,297
Kuna video imetrend kijana anapigwa magongo na watekaji wake porini huyo kijana anaitwa enok Sasa amefariki taratibu raia wanaanza kukopi na kupest mfumo wa wasiojulikana. Mungu ampumzishe enoki sio Kwa magongo yake aisee.
 
Kuuana siku hizi jambo la kawaida.. na tunapo elekea sijui
 
Hao ni mawakala wa CCM na wamekwisha kamatwa
 
Niliona hiyo clip aisee inasikitisha sana.
Watu ni makatili Sana kwa kweli 😢
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom