Enjoying nature's nature😍

Enjoying nature's nature😍

Thanks mate ✌️ bless
Ngorongoro/mto wa mbu Road
View attachment 1732887
Last time napita hapa it was 1997 vumbi tupu, pembeni ya barabara wamejipanga watu wamevaa mashuka meusi usoni wamejipaka chokaa wanawasubiri wazungu wawape pesa, nilivyofika mto wa mbu nakuta dukani dola ya mmarekani inatumika kama inavyotumika shilingi ya mtz
 
Mkuu rudi tena ukatembee kumependeza sana. Myo wa mbu napenda sana vile miti imefunika barabara
IMG_20201221_091328_4.jpg
IMG_20201221_091408_4.jpg
 
Umewahi kufika kusini mwa Tanzania na kuona mandhari yake? Jaribu kutembelea huko kwani unaonekana dunia yako imeishia kaskazini mwa nchi!!! Anyway, hongera kwa picha nzuri.
Toa na mfano sasa....
 
Back
Top Bottom