Enjoying nature's naturešŸ˜

Enjoying nature's naturešŸ˜

Screenshot_20201029-153721.png
 
Hi there.....šŸ‘‹šŸ‘‹
Moja ya kitu nachopenda ni kutembea porini nione milima na mabonde, barabara,majengo na milima. I enjoy it to the fullest coz it's Just only me, Earphones,nature and Thinking. I mostly spend more than two hours walking on foot.

Nachofanya ni kuchukua tu pia ya mazingira nitakayoyapenda... Someone nilimuonyesha picha nazopigaga akaniamba niwe Photographer wa mazingira maana napiga picha vizuri.
{Mnaruhusiwa kutoa asilimia katika picha nilizopiga..)

āœ“āœ“NB: Zote nimepiga tu kwakua napenda mazingira nibaki na kumbukumbu.

View attachment 1732683 Mkuu nzuri Sana hongera
 
Back
Top Bottom