It takes creativity then off you go maana inabid uwe na editorial skills kiasi chake kupata approval ya izo platformsHow can it be done??????
isajorsergio hopefully unaweza kunipa abc kama unaufahamu mkuuHivi naweza kubadirisha hii hobby kua source of income??? Inawezekana nimekalia pesa š
Tumia website/App za Foap na Agoal una uza picha.Hivi naweza kubadirisha hii hobby kua source of income??? Inawezekana nimekalia pesa š
Yes bro!isajorsergio hopefully unaweza kunipa abc kama unaufahamu mkuu
Shida inatakiwa uwe na dollar kiasi za kuanzia na hapo Ndio mtihani. Kuna app nimejaribu kwanza Resolution ya picha wanazotaka simu yangu haiwezi chuku. Au kuna camera app bora?? Maana natumia built in camera/software.Yes bro!
Unaweza kutumia tovuti na mitandao mbalimbali kuuza na kusambaza picha. Baadhi ya tovuti zinazoweza kuingiza kipato kutokana na kazi yako ni National Geographic Images https://natgeocreative.com/ngs/photography/contact/ | Nature Picture Library www.naturepl.com | Minden Pictures www.mindenpictures.com/contact-us | iStock www.istockphoto.com/sell-stock-photos.php na nyingine nyingi.
Ikiwa utaona ugumu kuuza kimtandao basi unaweza kutengeneza loyalty photos na kuingiza kiasi japo kidogo na kuwezesha kupata endorsement kama ifuatayo;-
Unaweza kusambaza picha zako katika tovuti za loyalty free kama Unsplash, Pexels na Pixabay.
Nashauri kuanzisha kurasa rasmi katika Facebook, Instagram na Twitter ambayo utaipatia common username ambayo itakuwa attractive na rahisi kutambulika mfano @davinciphotos au @photosbydavinci na sio @da_vinci_photography.me akaunti za hivi upuuzwa.
Shida huko fb pia inatakiwa ulipie pia page ili iweze kuwafikia watu zaidi.Katika kurasa hizi hakikisha unapandisha picha katika quality bora, fine retouched na kuwa na consistency. Best dimensions ni 1080 x 1080 pixels na 1080 x 1350 pixels. Kadri inavyokuwa naamini utapata gigs either kuchukua picha za nature au kutangaza matangazo yenye mlengo wa tourism, photography na landscape, hapa utakuwa umeanza kuingiza kipato kutokana na kazi yako,.
Jaribu kutumia resources ulizokuwa nazo na alternative idea ya Loyalty Photos na hizo Digital Platforms. Usitumie pesa, nimekupa ushauri wa tags na consistency, lazima uta-penetrate.Shida inatakiwa uwe na dollar kiasi za kuanzia na hapo Ndio mtihani. Kuna app nimejaribu kwanza Resolution ya picha wanazotaka simu yangu haiwezi chuku. Au kuna camera app bora?? Maana natumia built in camera/software.
Pia inatakiwa uwe na kiasi fulani cha Dollar kwenye kuanza au kulipia mission ya kuuza pic..
Shida huko fb pia inatakiwa ulipie pia page ili iweze kuwafikia watu zaidi.
Kazi ipo
Nimepita sana hii njia
Ahsante kwa maelezo mkuu.. nitajaribu nikifanikiwa nitakujuzaJaribu kutumia resources ulizokuwa nazo na alternative idea ya Loyalty Photos na hizo Digital Platforms. Usitumie pesa, nimekupa ushauri wa tags na consistency, lazima uta-penetrate.
Katika built in kamera angazia sehemu ya settings kuona ukubwa wa picha na kubadili. Someone Chizoba_CzB Chizoba anatumia simu na ameweza kufanya penetration hadi katika tour.
What about that broš
Hongera sana Mkuu kama hutojali naomba tuongee Dm lets Join Together napiga picha za nature pia napenda nature kama ulivyojieleza hapo juu the same to me napiga picha za simu View attachment 2121519View attachment 2121516View attachment 2121517View attachment 2121518Hi there.....
Moja ya kitu nachopenda ni kutembea porini nione milima na mabonde, barabara,majengo na milima. I enjoy it to the fullest coz it's Just only me, Earphones,nature and Thinking. I mostly spend more than two hours walking on foot.
Nachofanya ni kuchukua tu pia ya mazingira nitakayoyapenda... Someone nilimuonyesha picha nazopigaga akaniamba niwe Photographer wa mazingira maana napiga picha vizuri.
{Mnaruhusiwa kutoa asilimia katika picha nilizopiga..)
āāNB: Zote nimepiga tu kwakua napenda mazingira nibaki na kumbukumbu.
#No Filter No Edit
View attachment 1732683
Haina shida tunaweza kubongaHongera sana Mkuu kama hutojali naomba tuongee Dm lets Join Together napiga picha za nature pia napenda nature kama ulivyojieleza hapo juu the same to me napiga picha za simu View attachment 2121519View attachment 2121516View attachment 2121517View attachment 2121518View attachment 2121520View attachment 2121521