Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 7,876
- 7,391
simba wawili katikati ya swala wengi
Mkuu sijawahi kufika Mikoa ya kusini, Naomba uwe mwenyeji wangu maana sijawahi kuwaza kama nitafika huko.Umewahi kufika kusini mwa Tanzania na kuona mandhari yake? Jaribu kutembelea huko kwani unaonekana dunia yako imeishia kaskazini mwa nchi!!! Anyway, hongera kwa picha nzuri.
Misty morning