ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

Very nice! (sijui kama nimekosea kuweka hiko kialama?? ☺ ).. ila hili somo mkuu japokua umelivunja vunja bado its too complicated to follow, namaanisha kidogo kidogo ingesaidia kwa sie slow learners..all in all ni somo zuri sana
 
Hapana sikumaanisha tunywe pombe, nililenga kujiamini ule nilitoa tu mfano nieleweke!
Walimu fundisheni kuongea, ila mwongeajipia aondoe hofu ya kuongea ajijengee kujiamini.
Shule zina program ya debate ili kuboost uwezo wa watu kuongea mbele za watu. Lakini kama mtu by default hana uwezo wa kujieleza bado itakua kazi bure
 
Very nice! (sijui kama nimekosea kuweka hiko kialama?? ☺ ).. ila hili somo mkuu japokua umelivunja vunja bado its too complicated to follow, namaanisha kidogo kidogo ingesaidia kwa sie slow learners..all in all ni somo zuri sana
Hujakosea naona unanichora tu hapa 😀😀
Mmhh jamanii hapo nimerahisisha zaidi tena kwa lugha nyepesi ya kiswahili. Ww hujaelewa wapi
 
Ili tuelewe english lazima tufundishwe kwa kiswahili,yaani kutoka kwenye lugha fahamika kwenda kwenye lugha isiyofahamika.

Tumia lugha husika inayofahamika kufundisha lugha isiyofahamika.

Ila sisi kayumba tulikaririshwa ili tujibu mtihani sio tuweze kuongea,najifunza kizungu sasa hivi sitaki kukariri yaani unaelewa vizuri.

Sio kama zamani tulikosoma sisi unaambiwa ukoona too...to ukiona so .... that.

Kwa hyo ikitungwa sentensi wewe hauna haja ya kujua maana unaangalia tu kuna too hapo kati ? Ndio basi najaza to mbele ,tumesoma hivyo..
Nini kofanyike kwa wanaotoa mitaala hii ya lugha
 
Hakuna formula ngumu sana kufundisha hii lugha.

Inahitaji watu wanaoelewa hiyo lugha kuwaelewesha wengine

Yaani watufundishe kiingereza kwa kutumia kiswahili chetu hasa ikiwa mtu ameshajifunza lugha mama ya kiswahili tokea utotoni.
 
Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...
 
Ofcourse kila nyanja inahitajia mazoezi kwa nyanja hiyo.

Kuingea kunahitaji practice katika kuomgea.
Na kuandika kunahitaji practice katika kuandika
 
Suala la Kuongea vizuri lugha yoyote linahitaji practice, ndiyo maana WaTanzania wengi wako vizuri kwenye uandishi kuliko kuongea Kiingereza! Kwenye shule zetu nyingi tunakitumia zaidi kiingereza kwenye maandishi sio kwenye kuzungumza...
Hii ni sahihi kabisa, je tuanze kufundisha english toka msingi.huku kiswahili kikiwa ndio somo pekee la lugha hiyo?
 
Tutumie kiswahili mazima kutoka primary hadi chuo, Vitabu vyote msingi hadi sekondary viandikwe kiswahili ...
Tuachane na lugha ya mzungu, tukuze chetu
 
Very nice! (sijui kama nimekosea kuweka hiko kialama?? ☺ ).. ila hili somo mkuu japokua umelivunja vunja bado its too complicated to follow, namaanisha kidogo kidogo ingesaidia kwa sie slow learners..all in all ni somo zuri sana
I like to teach but I don't know how to teach madame
 
Mkuu hii itakusaidia....??
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika
 
Mimi nilijua Wavaa makobazi mnajua kiarabu tu na sio kingereza😆😆🤣🤣

You just come with the topic and you will see my English language prowess.

For your information Arabic language is much harder than English.
 
Back
Top Bottom