"Engineer" huyu kiboko...,

hii inaweza kuwa tourist attraction na ndani ya jengo hili tuweke hadithi za loliondo na longido, tofauti ya ammount in words na ammount in figures, operation tata ya muhimbili etc na maluweluwe yote ya tanzana, itasaidia kuingiza dola kwa nji hii
 
Siamini duniani hapahapa ni hii !picha ninachokiona kuwa kile kwenye kipo ***** Gosh, Im getting confused with this photo... its lyk ina-turn my mind upside down!
 
Jamani eeh, injinia alikuwa safarini na akaacha maagizo kwa vibarua wajenge ngazi, kurudi akakuta hali kama hiyo hapo...hahahaaa
 
Hivi alivyokuwa anajenga hakuona hii au hivi kazi zipo na style flani au kuna namna ya kupata hebu mpiga picha afuatilie mwenendo mzima na mafundi wake ni wazima wa akili au vipi
 
huyu atakua alisomea veta!



:)
 

Attachments

  • engineer.jpg
    engineer.jpg
    33.9 KB · Views: 24
Una matatizo ya uelewa wewe au ukoloni wa magharibi umekutawala sana kichwani. Karibu sana China uione inavyoendelea na inavyozitesa nchi za magharibi kwa tafiti za kisayansi na teknolojia. Bado China wako mbali ila wanaelekea. Wewe utabakia kuwabeza lakini hakuna la maana unalofanya duniani katika ulimwengu wa Sayansi na teknolojia.

Scholarship za China hizo zafanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom