"Engineer" huyu kiboko...,

Anaye design jengo ni Archtect sio Engineer. Kazi ya Engineer ni kujenga kile alicho design Arch. Hii picha inawezekana imewekwa hivyo kwa kutumia graphix au hizo ngazi ni mapambo tu.
 
Duh bwana mkubwa naomba unisaidie kazi (role) za hawa watu katika ujenzi.

1. Archtect
2. Engineer (Consultant)
3. Contractor (Constructor)
4. Client
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom