"Engineer" huyu kiboko...,

Huyu wala hajawahi ingia darsasa la ujenzi. kwanza kumuuita Eng kosa atakuwa ni fundi mchanga sana au kibarua.
 
Huyu jamaa aliyedizaini na aliyejenga nashawishika kusema hata elimu ya sekondari ambayo ingewasaidi kwenye swala zima la rizoning hawajapitia.Ni std 7 failures.
 
Nadhani anatekeleza matakwa ya Mheshimiwa mmoja wa bunge lilopita, aliyelalamika kuwa sasa hivi wahandisi wanajenga majengo mfano wa viberiti ambayo hayana urembo.
 
Scholarship za China hizo zafanya kazi


Are you serious au umeamua kujifurahisha?the world is converging towards China now,If want to see a big picture u have to change the way u think.
 
Nimeipenda hii picha...


Design of staircase is not as simple as people think. Lakini huenda kwenye Engineering drawings ipo sahihi kabisa aliyekosea ni site foreman anbaye huenda si mzoefu, ila alitakiwa kumuona consultant(Engineer) aliye design jengo. Kwa kuwa bongo kila mtu anajifanya ni mjuaji huenda mwenye jengo aliona kumtumia Engineer ni gharama na kumwachia kazi fundi mchundo afanyefanye na ndivyo hivi sasa. Mnakumbuka yale maghorofa yanayoangukaanguka Dar?.

Mimi siamini kabisa kuwa hii ni kazi ya Engineer aliyekaa darasani na kukwepa mishare yote ya mitihani migumu. Hii ni kazi ya wababaishaji wanaopenda mteremko bila kujua gharama halisi za miteremko hiyo.

"Everyone can build and design a structure but an engineer can do that with half a cost and high precision" - Ultimate design technology. Jamani tutumie wahandisi wamejaa sana mitaani siku hizi mambo ya kukwepa gharama yana madhara makubwa sana. Muhandisi wa majengo ni kama Medical Doctor, kosa moja dogo linaweza sababisha maafa makubwa. Sasa kama staircase imekosewa what about reinforcement steels kwenye slab ya hiyo ghorofa?
 
sidhani kama hii kazi alipewa mtu sahihi au mwenye nyumba aliamua kukwepa gharama za ujenzi kwa kujenga mwenyewe
 
Dah hii kali jamani sasa anayetoka chini anapitaje hapo? Na anayetoka juu anapitaje hapo? Dah kazi ipo . Ndo wahandisi wa kibongo wakinyimwa zabuni wanalalamika watu wa nje ndo wanaopewa zabuni. Sasa hiyo nini sasa dah
 
Tehe! tehe! hii ni kali ya kufungia Mwaka 2010. Twaweza kutangaza utalii na tukavuna dola kibao sina shaka hii imevunja record ya dunia.
 
hapo hamna kupishana maana kama kuna mtu anashuka na wewe humuoni wote ni chini .......................................
 
Pamoja na kuwa ngazi hazina continuity, lakini pia hizo ngazi hazina support sijui mtu akiwa anapanda juu atajisupport wapi??? Kama sio utundu wa computer hapo , basi ni hatari kuwa na fundi mjenzi kama huyu!!!:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth:
 
Mna paniki nini???? Hiyo ni kwajili ya mafundi kupandishia zege. Haiwahusu ninyi mtakaoishi humo. Tulieni mkabidhiwe nyumba yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom