Engagement

Engagement

kuna mtu aliwahi niambia, gharama ya pete inatakiwa iwe asilia kadhaa ya mshahara wa mhusika.
Sikumbuki asilimia ngapi?
 
hii nilikuwa sijui so siku niliyopeleka mahali si ndo nashangaa wanauliza vipi na pete ya uchumba unamaliza leo?nikabaki nashangaa shangaa tu kama nimefumaniwa!sasa nimebaki na huo mtihani.so hii topic inanihusu sana comment zenu wadau zinaweza nipa mwanga kidogo au kuniongezea maujuzi!!!

kama ulishatoa mahari unaweza kumvisha pete, mfanyie suprise kabambe
 
kama ulishatoa mahari unaweza kumvisha pete, mfanyie suprise kabambe

kuna suprise nimepanga kufanya but kutokana na time mambo hayaendi vizuri coz ni kama miezi saba imepita tangu nipeleke mahari.ni kwamba nilipanga kama part ya kumtambulisha home halafu nialike watu wa kwao like wazazi bila yeye kujua awakute home kwetu!!!kiukweli majukumu ya watu wa upande wangu ambao ndio ninategemea sana support na uwepo wao wamekuwa bize sana kiasi naona next weekend zimezidi so ninaangalia njia nyingine bora zaidi za kumfanyia hiyo suprise!!!wakwe wapo shamba so kuwasafirisha waje town ninatakiwa nipate uhakika wa tukio and since mazingira yananipa ugumu nimeamua kuahirisha hiyo kitu ingawa naamini ingekuwa pouwa sana!!
 
yaani engagement ya wawili tu? Aiiiiiii

engagement ya kiafrika ni kuposa na mahari

hii itakua ni kukutoa dina afu baby suprissseee fumba macho ,lol, unituwe with this kind of engagement cchelewi kukutupia usoni
 
Kwanza hongera kwa uamuzi wako....
Go for gold, kama sikosei ni elf 70 grm!
It sound sweet ikiwa ni supprise!!!!!!!

elfu 70grm?gold ya wap io?........gold imepanda dad kitu cha 85...90 elfu kwa gram sonara nyngne mpaka laki 1 ..tembelea sonara zile za kitumbini utapata za ukwel na sonara zpo nyng ......ukisema ukanunue kwenye sonara za temeke mwsho,temeke au ata kko posibility ya kuliwa ni kubwa vitu sio real na avina mmeremeto mzur....nenda kitumbini..achana na sonara za magomen.com😱hwell:
 
Roziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ya mwanza....!!!!
huenda imefika kiasi hicho, hiyo ni bei ya kama miezi miwili iliopita
 
kuna suprise nimepanga kufanya but kutokana na time mambo hayaendi vizuri coz ni kama miezi saba imepita tangu nipeleke mahari.ni kwamba nilipanga kama part ya kumtambulisha home halafu nialike watu wa kwao like wazazi bila yeye kujua awakute home kwetu!!!kiukweli majukumu ya watu wa upande wangu ambao ndio ninategemea sana support na uwepo wao wamekuwa bize sana kiasi naona next weekend zimezidi so ninaangalia njia nyingine bora zaidi za kumfanyia hiyo suprise!!!wakwe wapo shamba so kuwasafirisha waje town ninatakiwa nipate uhakika wa tukio and since mazingira yananipa ugumu nimeamua kuahirisha hiyo kitu ingawa naamini ingekuwa pouwa sana!!

something is wrong somewea,uchumba gani wa miezi saba na bado unawaza pete ya uchumba ci ya ndoa
 
Siku ile unapotoa mahali ndiyo engagement inafanyika siku hiyohiyo, Mambo ya kumuengage mtoto wa watu ,wakati kwao ujajitambulisha wala Haujalipa kiasi chochote cha mali , Mwisho unakuwaga siyo kizuri munaweza Ishia kwenye Engagement musifike mbali mkuu, So nakushauri jipange kalipe mali hata kiasi na siku hiyohiyo ufnye Engagement. Suara pete waweza Pata kwa Shs 70,000/= hadi laki 300,000/= , kutegemea aina ya pete kama ni silver au gold
na kiasi cha gramu ya pete unayoitaka mkuu.

Karibu kundini mkuu sis tulisha tanguria

Nmekaribia mkuu kundini bt km cjakosea cku ya kujitambulisha haiwezi ikawa associated na ring, na kuhusu cku ya kutoa mahali ndo unamvisha na Pete vipi huwa nasikia kuna sherehe ya kuvishana Pete can it associate na utoaji mahali? Au inakuwaga ni separate ceremony?
 
Sasa kaka mtoa mada humjui uwezo wake, kwa hiyo si vyema kuwekea kikomo cha bei.

Pengine ana milioni zake 10, wewe unamwambia anunue ya laki tatu!

Juu ya hivyo kumbe nilikosea kukusoma ......wewe umesema laki 300,000 ambazo ni laki laki tatu

Hamna wa kuoa kwa pete ya kuanzia m wala b kwa ela zetu hizi za madafu nadhani nadondokea humohumo kwenye vilaki vitatu mpaka moja wazeiya, nawashukuru
 
Ni upi mda muafaka kumuengage mwanamke? Na after engagement mnaweza stay for how long kabla ya kufunga ndoa na je is it necessary wazazi kuwa aware na hii event, either kuattend or not,, kwa kibongo culture zaid,
But ni aina ipi ya engagement ring material ipo vizuri na upatikanaji wake kibongo including bei zake kwa Dar? to me naona diamond inatumika sana,,
Mwenye chochote atupie basi

Mkuu inaelekea uko busy sana,,
manake haya mambo ya kuoa hujawa na muda wa kuyaelewa hata kidogo,..
 
Back
Top Bottom