Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

Eneo linauzwa Goba Njia Nne kwenye lami

Hahahah!! Michezo ya PESA
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nimeona kiwanja kimoja kiko Goba Half London kinaenda 1sqm kwa 200K, siamini kiwanja anahcotangaza ni kwaajili ya matumizi ya makazi itakuwa vile kwa ajili ya vituo vya mafuta
Kuna sheli pale Goba inaitwa Simba Oil.
Eneo lile lilinunuliwa mwaka 2011, kwa shill mill 100. Ni kama 2,000 sqm.

Sehem nyingne Goba iliyouzwa kwa bei kubwa ni pale ilipikuwa Lastanza Bar Zaman .nasikia imeuzwa Mill 400 kwa boss wa Kitambaa cheupe. Jesca. (Ashamaliza kujenga mjengo wa ghorofa 4)

Kuna sehem Mwamposa kanunua kabla ya Goba center kanunua Mill 800. Mbele kidogo ya eneo analomiliki Marehemu Mama Rwakatale(anazo hela 3 ). Iko barabaran 2,000 sqm.

Kwahiyo inawezekana mtoa mada anasema taarifa sahihi.
 
Dah kweli inawezekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom