Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,504
- 3,188
Kwa rasilimali alizokua nazo na nafasi aliyokua nayo akashindwa hata kwa margin kidogo ushindi ni ushindi na kushindwa nikushindwa pia hana ushawishi huo tena labda kama anamuua kufanya demage mwamba makandomakando ni mengi nankukimbia mdahalo credit alipoteza msije kumdanganya tena atafedheheka huo ni uhakika 100% hajapinduliwa ameshindwa kidemokrasiaHakudanganywa mkuu, licha ya kura zake kuwa chache ila umma ulishuhudi udogo wa GAP la kura baina yake na mpinzani wake, hivyo ushawishi alionao ni mkubwa sana na kwa wakati huu umeongezeka mara dufu.