Emmy mwamgiga

EMMY MWAMGIGA IS WHO???

  • EMMY

    Votes: 2 100.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%
  • EMMY

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

MPENDA USAWA

Senior Member
Oct 15, 2012
169
29
emmy mwamgiga ni vice president katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam(daruso).kitu ambacho kinanifanya niwe na wasiwasi juu ya uwepo wake hapo ni kutokana na kutumia pesa nyingi katika kukitafuta cheo hiko..kwa makadilio ya harakaharaka mdada huyu ametumia zaidi ya milioni 10 katika kukipata cheo hiki maulizo mengi yametawala ubungo wangu la kwanza ni hili je mdada huyu ametoa wapi pesa zote hizi??? La pili je na kama zimetoka katika mfuko wake je daruso kuna nini mpaka awekeze pesa zote hizi?? Na je pesa zote alizowekeza atazirudisha kwa njia gani......aiseee napata wasiwasi kuona hali kama hii!!!hizi ni dalili za ufisadi tena katika ngazi ya chini kabisa je mtu kama huyu anatoa mfano gani kwa jamii???aisee kuna haja ya kupigania hili kuanzia katika level ya chini mpaka ya juu!!!
 
Attachments

  • MGIGAAAAAAAAA.png
    MGIGAAAAAAAAA.png
    56.7 KB · Views: 125
Siku hizi "Mzee Punch" alishakufa hasira zenu mnaamishia humu!! Nyerere alishawahi kusema "Nchi inanuka rushwa" siye badala ya kuuondoa uvundo unaoleta harufu mbaya ya Rushwa tukaziba pua. Kweli sisi ni wajinga!!
 
Alizitumiaje?
Hebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!

Nina amini sio kila kitu kinachosemwa ni uzushi isipokuwa watu wengine hawajui jinsi ya ku-present their case.

Wewe MPENDA USAWA guy, ambaye leo ndo umepost kwa mara ya kwanza baada ya ku-join jana, rudi hapa uongee kama kijana anaesoma chuo kikuu na sio mhuni wa Mbagala.
 
Last edited by a moderator:
Mbona hii inahusu hukohuko chuoni kwenu, labda kama kutakuwepo na interest ya Kitaifa
 
Hebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!

Nina amini sio kila kitu kinachosemwa ni uzushi isipokuwa watu wengine hawajui jinsi ya ku-present their case.

Wewe MPENDA USAWA guy, ambaye leo ndo umepost kwa mara ya kwanza baada ya ku-join jana, rudi hapa uongee kama kijana anaesoma chuo kikuu na sio mhuni wa Mbagala.
dogo mzushi tu huyu boom la 0.5% linamzingua kapata hela ya intenet cafe basi ni kusumbua tu watu humu
 
Dogo, HOJA iko wapi hapa?
Tunajaribu kukusaidia wewe unaleta kubwa kuliko....huwezi kujifunza kwa attitude yako hiyo.

Nisome hapo juu!
au huyo dada kamtosa? alitaka kula hela ya mdada kanyimwa anakuja kumponda humu.
 
Hebu atupe Maeneo muhimu ya matumizi na makadirio......aseme pia approximations anazofanya ana base kwenye nini..!!

Nina amini sio kila kitu kinachosemwa ni uzushi isipokuwa watu wengine hawajui jinsi ya ku-present their case.

Wewe MPENDA USAWA guy, ambaye leo ndo umepost kwa mara ya kwanza baada ya ku-join jana, rudi hapa uongee kama kijana anaesoma chuo kikuu na sio mhuni wa Mbagala.
na akithibitisha nitashangaa kama hata wanaojiita wasomi wananunuliwa katika uchaguzi..........
 
hayo ndio matumizi ya pesa,na inawezekana kabisa wewe ulikuwa mgmbea hicho kiti ukatoswa na kura,sasa umemchafua
 
au huyo dada kamtosa? alitaka kula hela ya mdada kanyimwa anakuja kumponda humu.
hahahahaa........kwasababu ameshindwa kutetea alichoandika, tumuombe akiondoe hapa na akipeleke facebook.
 
Back
Top Bottom