Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

Kuna demu nilikuwa nafukuzia nikakuta Nchimbi naye anafukuzia. Demu alinikataa. Nchimbi naye kama alikuja kufanikiwa ilikuwa baada ya muda mrefu kwasababu mwanzoni alikuwa anatuma tu bahasha za pesa kwa demu ila demu akawa anazila tu. Kwenye siasa huyo haaminiki kwasababu ni mtu ambaye hayuko neutral. Huwa ana kambi zake ndani ya chama.
 
Extremely ambitious,well connected, political smart na mtu wa maamuzi magumu. Ningekuwa Mwenyekiti simteui labda kama tuna makubaliano ya kuachiana kiti nikimaliza au nina namna ya kumfunga spidi gavana na kumzunguka. Right candidate wrong time.
 
Kuna demu nilikuwa nafukuzia nikakuta Nchimbi naye anafukuzia. Demu alinikataa. Nchimbi naye kama alikuja kufanikiwa ilikuwa baada ya muda mrefu kwasababu mwanzoni alikuwa anatuma tu bahasha za pesa kwa demu ila demu akawa anazila tu. Kwenye siasa huyo haaminiki kwasababu ni mtu ambaye hayuko neutral. Huwa ana kambi zake ndani ya chama.
Ntajie mtu asie na kambi ndani ya ccm
 
Mama ana kibarua maana hajawahi jenga kambi tuiifu kwake hata kina makonda walimdharau kipindi cha magu
 
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.

Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.

Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.

Nchimbi amepambana na wanasiasa wahuni ndani ya chama, na hatashindwa kupambana na wahuni wengine ambao wamepenyapenya kwenye chama na kupata vinafasi.

View attachment 2828195
Kwani nani kakibomoa?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.

Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.

Namshauri SSH amteue Emmanuel Nchimbi, ni chaguo Bora.

Nchimbi amepambana na wanasiasa wahuni ndani ya chama, na hatashindwa kupambana na wahuni wengine ambao wamepenyapenya kwenye chama na kupata vinafasi.

View attachment 2828195
Mnalazimisha tu. Chama kimeshajiishia mnalazimisha eti kipendwe. Hata aje yesu chama kimeshaisha ndo mana hata jpm alilijua Hilo akaamuru wakarigenzi watangaze hivyohivyo wabunge bila hata kushinda kwa kuwapiga biti Kali kwamba yeye ndo anawawekea mafuta kwenye magari. Ndo mana ukisoma tune huru ya uchaguzi ccm mavi yanagonga.
 
Mama ana kibarua maana hajawahi jenga kambi tuiifu kwake hata kina makonda walimdharau kipindi cha magu
Hayuko salama na majority ya wanaotajwa. Aende nje kabisa kama Magu alivyokwenda UDSM akamchukua Dr. Bashiru,akishindwa aniamini hata mimi ila sio hao 😅😅
 
Mngoni huwa haaminiki hasa kwa wanaomjua mngoni kiundani, ngoja ipite ntawaambia kitu, kama Madam Hassan anafanya kwa dhamira ya Urais, Urais wa 2025 asahau hatopata vita ataiona na atashindwa na kupata aibu kubwa.
Sasa watu waliochapana vita hapa Tanzania kutaka kumfukuza mzungu ni wangoni na wahehe

Wahehe chini ya Mtwa Mkwawa na Wangoni Chini ya Chief Songea na wasaidizi zake

Makabila mengine yote walikuwa waoga na wengine kama wachaga walijiunga kwa mzungu

Wazaramo na makabila ya pwani baada ya ndugu yao Mzee kamata kutandikwa risasi pale kamata kariakoo kama mfano wakapoteana na eneo likabaki maarufu ahaa haaa

Wanyakyusa ndio kwanza walimkimbia mtemi Isike Tabora

Nchimbi alisimamia alichokiamini kwa Lowasa

Hata Magufuli alisimamia anachokiamini

Membe pia alisimamia anachokiamini

Wewe unataka Nchimbi awe upande ambao hauamini?
 
Hayuko salama na majority ya wanaotajwa. Aende nje kabisa kama Magu alivyokwenda UDSM akamchukua Dr. Bashiru,akishindwa aniamini hata mimi ila sio hao 😅😅
Ndo maana siasa hutakiwi ivamia kama mama Samia unapaswa ifanya kama jakaya yy aliingia madarakani na washkaji zake wa kucheza basketbol pale udsm .wanasema you cant make old new friends
 
Ndo maana siasa hutakiwi ivamia kama mama Samia unapaswa ifanya kama jakaya yy aliingia madarakani na washkaji zake wa kucheza basketbol pale udsm .wanasema you cant make old new friends
Uko sahihi sana Ndugu yangu japo yeye hakuivamia ila sasa mipango ya Mola. Huwa nawaza angejipanga akiwa makamu angekuwa wapi? Ni mtihani mgumu ila akitulia atafanikiwa,kosa atakalofanya ni kuongozwa na woga na hofu.
 
Back
Top Bottom