Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

hana dhehebu maalum yeye sehemu yoyote anapoitwa kupiga sebene anapiga.

Pia mbasha nae kilaza 2 twn fursa kibao anasumbuana na huyo flora,kma umarioo unamsumbua aende kwa vicky kamata atamfaa,huyu mangi cjui wa wapi hii case ni nzuri sana kwake aite waandishi amwage mchele mapema
 

Dah,Mkuu umeongea real thing na umenigusa sana,hawa viumbe tunaishi nao basi tuu maana ni Nyoka hatari kabisa.
 





kweli hii ni haki jamani
flora kumbuka pale
uliposema kuwa utampenda
mumeo katika shida naraha
iweje leo umfanyie hivi?

Iweje leo umuanike mwenzio
hadharani kiasi hichi
utamfundisha nini mtotowako
na wanawake umetulet down kweli
 
Nipo mkuu!



The bold wewe ndo Emmanuel Mbasha????

Nahisi vitu vingi vingi vingine sivisemi hadharani!!

Emmanuel alivyotiwa rumande tu ghafla michango yako humu jamvini imepotea, alivyoripotiwa kurudi tu michango km kawa.
NI WEWE EEEHH!!
POLE MZAZI.
 
lyinga, uzi wako ulouliza kwa nini mke wa Gwajima yuko kimya wameutoa, lakini majibu nlokuwa nimekupa sitakubali yapite hivihivi, kwa matumizi ya wachache.

Ndo hivi:
Yaani mmeo anazama, afu na wewe umkanyage utosi? Ulifunzwa kweli? Baba wa watoto wako? Bebi wa ujanani?

Mie mme wangu akichemsha hadharani, kama siwezi kumtetea ni kufanya kama mke wa Gwajima tu, hadharani nakunywa supa gluu, huko ndani nakuwa namchinga leo vidole, kesho P.... Mradi namhukumu kwa sheria zangu.

SIwezi kumtoa kwa wayahudi kama Pilato wakamsulubu, ili damu yake iwe juu ya vizazi vyangu? Neh.

Ni wanawake wa sasa tu wanaweza kuwasokomeza waume zao mbele ya mataifa.

Unamsokomeza mme wako, wanamtindua, afu unarudi kulala na shuka na mito, blanketi chapa mtu umelisokomeza huko, blanketi lenye joto la asili, linakupigisha stori, linakupeleka babeli bila air ticketi.

Wajinga ndio waliwao, Viva mke wa Gwajima. Acha Fulo asulubishe wake, akimmaliza tu, kaba penati hadi kivuli, ikibidi kaba hadi refa asipige vipenga kwenye faulo.

Check mke wa David Beckam enzi zile za vi skendo, afu check mke wa Tiger Woods, utajua tu nani alimaanisha ile " I do, for better for worse....'
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe, una niiga mawazo?

The bold wewe ndo Emmanuel Mbasha????

Nahisi vitu vingi vingi vingine sivisemi hadharani!!

Emmanuel alivyotiwa rumande tu ghafla michango yako humu jamvini imepotea, alivyoripotiwa kurudi tu michango km kawa.
NI WEWE EEEHH!!
POLE MZAZI.
 

Your Fream Is FM's nightmare....
 
Huyo Flora ameshakuwa halali kwa walimwengu sasa, maana hata huko aliko jisetiri watamfukuza muda si mrefu.
Si kesi inaenda mahakamani?
Stori ndo kwanzan inaaza, alikuwa wapi wakati mwenziwe anadaiwa kubaka.
Check it out-attention ya stori hii lazima itahamia kwa Flora.
 

HeeeHeeee
 
Hii inanikumbusha hbr ya samsoni na derilah,kumbe akina derilah bado wapo,dah hii ni hatari sana
 
hata kama siyo flora still alikua na nafasi ya kuzuia maneno yasifike
mbali ila kwa kuwa ana roho mbaya akaamua kumuacha mzazi mwenzake
afungwe sijui atapata faida gani huyo mwanamke. kweli nimeamini chuki ya mwanamke ni zaidi ya nyoka mwenye sumu.
Gwajima...:cool2:
 
Ipo siku na saa mtagundua ukweli wa haya na wengi humu mtaaibika
 
Sidhani kama The Bold ndiye Mbasha. Mtiririko wa kuandika wa Emmanuel Mbasha naujua. Yaani jamaa ni kama hajaenda shule. Hana ubavu wa kutiririka mistari na kuipangilia kama alivyofanya The bold. Kuna siku niliwasiliana naye kwa sms nikitaka waje kutumbuiza kwenye harusi fulani hivi. Namna alivyokuwa anajibu, kwa kweli nilishangaa sana. Hata r kwake yeye ni l.


The bold wewe ndo Emmanuel Mbasha????

Nahisi vitu vingi vingi vingine sivisemi hadharani!!

Emmanuel alivyotiwa rumande tu ghafla michango yako humu jamvini imepotea, alivyoripotiwa kurudi tu michango km kawa.
NI WEWE EEEHH!!
POLE MZAZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…