Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

kwa hiyo kama mkeo akikunyima ujanja ni kulala na mdogo wake. KOSA LA MBASHA NI KUBAKA HATA KAMA FROLA ANAMAKOSA YAKE NAYE ANAKOSA PIA.

Alimbaka au walikubaliana
 
Hongera Mbasha kwa kupata bond. Mpe talaka huyo Flora

Kumpa talaka kwa sasa haitakuwa jambo sahihi!! Ingawa kimsingi ni kama vile ndoa haipo tena, ila vitu kadhaa vilovyonyuma ya pazia ambapo vitasaidia katika hii kesi na kumtungua mzee wa hummer, na ili vifanikiwe tunahitaji hii ‘ndoa' iendelee kuwepo!!! Hata wao wanafahamu hilo ndio maana wanaleta kadhia yote hii ili florah apewe talaka.!!
 
frola alijua kuwa mmewe ataachiwa kwa dhamana ndo maana akajidai kavamiwa home ili aondoke home jamaa akifika asimkute na watu wakihoji kwanini hayuko home aseme nilivamiwa pale sio sehemu salama kwangu
Nilikuwa Nina mawazo kama yako
 
kama mbasha hakuzini na huyo binti kesi imetoka wapi mkuu? acheni kuwa upande mmoja tu.
 

kama yupo na anasoma haya atajiongeza
 
Kuzini sio kosa kisheria, rekebisha

hauwezi kupewa kesi ya kubaka kama ushahidi haupo mkuu. mue mbasha alimkosea pia mke wake kwa kuzini tena na mdogo wake. kuzini kumeleta hiyo mnaoita kubakwa.
 

hana dhehebu maalum yeye sehemu yoyote anapoitwa kupiga sebene anapiga.
 
ONYO: Aisee nifanye chochote utakacho, LAKINI KUNIGUSIA MKE WANGU AISEE patashimbika - uwe billionea au fukara kama mimi yaani cha moto lazima ukione, nikikushindwa kwa nguvu za NURU basi lazima tumalizane kwenye nguvu za GIZA. Lazima nikushushe shipa aisee!! hata kama ni nabii shipa lazima lishuke tu!!
 
The bold pole sana kwa kuwekwa rumande. Hivi waliokuwekea dhamana ni nani na nani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…