Ujumbe wako unabusara sana.!Mkewe anataka kumwangamiza tu bure, Flora hufai;
Wanawake tukiachana na wanaume huwa
hatuwatafutii visa; ni kuondoka tu na maisha yanaendelea kama kawaida.
Flora anamtesa tu mtoto wa mwanamke mwenzetu kwa ajili
ya uasherati wake.
Hivi flora ni mlokole wa dhehebu gani? Mana kma ni kwa mzee wa misukule ni sawa anaroho ngumu na mbaya.kma hamtaki mbasha c mnaacha 2 na maisha yanaendelea,kumfunga ndio ameona ila kila ki2 kitakua wazi mda c mrefu cjui ataficha aibu wapi huyu mama huruma
Utabambikwa kesi, wee omba mabadiliko.
Sasa hivi mwanamke akikuchoka tu, anakubambika kesi
Jiulize:
Chenge alipogonga na kuua
Ditopile alipoua kwa pisto
Wengine jazia
mbasha afanye kweli ambake na gwajima ili kesi iwe ya halali
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji
aliyemshitaki
mbasha siyo flora ni huyo mdogo mtu
Bullshit kesi ya kubaka ina Dhamana?
well well well..... naona na Conrad aliyeua mtu usiku kwa kujinafasi kwenye bar huko, naye yuko nje kwa dhamana miezi 5 sasa, maybe wakamilishe kwanza hii kesi ya Conrad, haiingii akilini huyu murderer kuendelea kuwepo mitaani kasha wezi wa kuku wako segerea, hiyo familia ya akina Mlay inabidi ifanye jitihada za makusudi kumsweka tena ndani huyu muuaji
Nilishangaa kuona na housegirl eti nae kaingia kwenye kesi. Sasa hivi mkeo akichukuliwa na kukuacha na housegirl na mdogo wake wewe ukale wapi na kitu kimesimama usiku, unakituliza kwa neno bado kimesimama tu? Ukizingatia kuokoka kunamfanya asionekane kwenye viunga vya dada pooozi