Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?

Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba.

Afrika Kusini itakubali kumpokea Mtanzania anayetumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT?

Asanteni kwa ufafanuzi🙏
 
Emergency passport hauwezi kuitumia kuingia SA mkuu labda Botswana maana SA wanapiga fine au kufungia mtu aliezidisha siku za kuishi alizopewa wakati anaingia kwa hiyo hiyo passport ya dharula taarifa zake hazijawekwa kwenye mfumo wao wa kisasa wa sasa E Passport . Pass hiyo utaitumia kama umepoteza Passport yako huko SA unataka kurudi ndio utaitumia hiyo ya dharula sio utoke na dharula nyumbani unaenda ugenini labda uwe mkimbizi wa kisiasa watakuruhusu na wawe na taarifa hizo.
 
🙏🙏🙏
 
We tried to use an Emergency Travel Document, only to discover that countries like South Africa impose strict requirements. They refused it because it wasn’t linked to their modern e-passport system. It might work in Botswana or Namibia, but each country has its own procedures, so you need to check with the relevant embassy before taking any steps.

If you have important documents that need legalization for use abroad, such as a letter or a birth certificate, there’s a reliable service we’ve used that’s both fast and accurate. You can visit apostillelondon.com if you need assistance with that process.
 
Back
Top Bottom