#COVID19 Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022

Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Ethiopia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Botswana, Eswatini, Lesotho, Msumbuji, Namibia na Zimbabwe

Wasafiri kutoka Nchi za Afrika sasa watatakiwa kuwa na vipimo vilivyochukuliwa saa 48 kabla ya safari vikionesha hawana maambukizi, na watapimwa wakiwasili

======

The United Arab Emirates will lift an entry and transit ban on on Saturday on travellers who had recently visited South Africa, Kenya, Nigeria, Ethiopia and eight other African countries.

The National Emergency Crisis and Disasters Emergency Management Authority (NCEMA) said late on Wednesday it was lifting the ban on those who had visited certain African countries in the previous 14 days, imposed due to the Omicron COVID-19 variant.

The other countries are Tanzania, Republic of Congo, Botswana, Eswatini, Lesotho, Mozambique, Namibia and Zimbabwe.

Those travelling from African countries will have to obtain a negative COVID-19 PCR test 48 hours prior to departure and a negative rapid-PCR test at the departure airport.

Passengers will also be tested on arrival.

Those travelling from Uganda, Ghana and Rwanda will also have to take the three tests

The changes come into affect at 2:30 pm Saturday.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom