Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi


Have mercy on her mkuu...daah...
 
Kazi umbea tu
 
Weweeeee...! Wanyaki na wewe msukuma wapi na wapi? Au shem mnyaki nini?. Kweli wanyaki wanakuwaga na machungu mpaka wanaume hapo wangelia ”itataaaaa,ijubhaaa,igwamwitu”
 
Weweeeee...! Wanyaki na wewe msukuma wapi na wapi? Au shem mnyaki nini?. Kweli wanyaki wanakuwaga na machungu mpaka wanaume hapo wangelia ”itataaaaa,ijubhaaa,igwamwitu”


Hahahaha Nimeishi nao...tena miaka ile ndo.walidumisha sana utamaduni...km msiba upo mita 500 anaanza kutembelea magoti uso mzma una machozi😂😂...i like tht kwakwel...ww mnyaki nn
 
Niko na wewe labda atapata wafadhili maana ana ile Dr.Ntuyabaliwe foundation!!
 
Nasreen ila wengine wasanii tu...
Jack hatotoboa maana hata hyo molocaho bei zake ghaliii...
 
Hilo gazeti lilikufa coz lilikuwa linajiendesha Kwa hasara. Huyo dada asitafute mchawi. Aliua mwenyewe gazeti
Kwa personal management
 
Niko na wewe labda atapata wafadhili maana ana ile Dr.Ntuyabaliwe foundation!!

That Foundation is nonsense....

Bila Machache kuingia kwenye scene,ile foundation it was pretty much a name on a paper!

Huyo Dr. Ntuyabaliwe was just a normal dr mwenye hela below average pale Mbezi Beach(By the way sio Mbezi beach ya ushuani ya baharini,ni ile ya juu ya kimasikini)...na yeye nae alikua chapa ilale sana...

Hakuacha eti wealth to speak of,nothing...

Machache was all the difference maker in every facet!

Ni kwamba,sasa hivi lazima volume ya hela ipungue,na wasipoangalia itapungua big time sana!
 
Hahahaha Nimeishi nao...tena miaka ile ndo.walidumisha sana utamaduni...km msiba upo mita 500 anaanza kutembelea magoti uso mzma una machozi
...i like tht kwakwel...ww mnyaki nn
Ahahaaaaa...! Hamia kwenye kabila lao,watakukaribisha tu. Vipi ulivyoishi nao uliwasoma walivyo wakarimu?
 
"I stand to be corrected"

Unaelewa vzuri British and American English? .... Sasa ndugu yangu kiingereza umejifunza kwa ras simba, mwenzio Toka kingergarten( in wema's voice) English medium , halafu Mimi sikariri kiingereza ndugu, kipo kwenye damu , ukitaka kushindana na Mimi utachemka

Kwa kukusaidia nenda ka google I stand corrected na hyo uliyoisema jibu kaa nalo mwenyewe.
 

Asante, nimerudi kwenye dictionary na kuona kwamba uko sahihi.

Nisamehe kwa kukukosoa wakati ulikuwa sahihi.

Nimejifunza pia kupitia kwako.
 
Yeye nae sijui kwnn ht hakuwa na huruma na mzee wake, ina maana kweli kwa hali ile ya siku za mwisho mwisho za mzee wake hakuona kbs kuwa afya haiko sawa na anahitaji kupumzika?
Kwenye msiba wa Ruge, yule mzee ht kutembea ilikuwa shida achilia mbali kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…