Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,483
Points
2,000
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,483 2,000
Wanazengo today is Thursday right ? Sio mbaya tukajikumbusha matukio ya nyuma ambayo yaliyokea Ila hayakuwahi kusikika au kuvuma.

Kama wewe utakua ni mdau mzuri wa entertainment , Jina la Emelda mwamanga halitakua geni kwenye your ear drum , namzungumzia Yule CEO wa BANG MAGAZINE, jarida lililokua likifanya vizuri miaka kadhaa iliyopita, please simzungumzii emelda mtema Yule shilawadu wa global publisher msichanganye Ma file wanazengo, huyu ni boss-lady, owner wa BANG MAGAZINE, lile jarida linalopambwaga na lugha ya malkia, najua wambea wenzangu humu wengi ni standard seven and form four leavers so wengi wenu mnaweza msiwe mnalijua🤣( jokes bhana) .

Basi bwana , turudi kwenye mada yetu hot ya Leo , kama mnavyojua au wacha niwajuze kuwa hilo BANG MAGAZINE, ni jarida lililokua linapambwa na Ma celebrities wazito, yani watu wakubwa wakubwa , yani wale mastaa wenye hadhi zao , please sizungumzii akina amber rutty wala Gigy money .

Basi bwana, nakumbuka ilikua ni kipindi kile da jacky Ndo alikua kwenye uchumba hot na the late mengi ( rest in peace), story Yao Ndo ilikua hot in town , kila mtu alitaka kusikia habari za couple hii ya billionare , wanazengo wengi walionekana kuwa fascinated kusikia chochote kutoka kwenye hii couple , lakini unaaambiwa marehemu alikua hataki kuzungumziwa na chombo chochote cha habari kuhusu mahusiano yao , yani unaambiwa mzee baba alikaza ki kweli kwel na mikwara alitoa kama yote.

Basi bwana, inasemekana huyu Emelda alikua na ukaribu na jacky even before she got engaged to mengi , kama mnavyojua jacky was a musician and a model, so they were kind of friends coz pia yeye aliwahi kupamba kwenye jarida la mwanamama huyo ambaye kimuonekano ni mpole na asiye na makuu.

Basi bwana , unaambiwa engagement ikafika, dada jacky akavalishwa Pete ya uchumba, Ila ikumbukwe mambo yalikua yanaenda kisiri siri tu japokua watu walijua, na bahati nzuri au mbaya emelda akapata picha za tukio zima la engagement , Sasa si mnajua bibie akataka kuwaweka akina mengi kwenye jarida lake kwenye ukurasa wa mbele kabisa yani FENTI FODI( in magufuli's voice🤣) au kwa lugha ya malkia iliyonyooka ni FRONT PAGE.

Basi bwana, bibie nadhani alikua kashaanza process za ku print hiyo habari na picha kabisa alikua kaweka kwenye jarida lake , si unajua Tena mambo ya exclusive? Bila shaka angepata mtonyo wa maana na jarida lake kuuza zaidi ikiwa tu deal lake lingeenda sawa.

Maskini Dada wa watu, alijua kwa kuwa wanafahamiana na jacky ofcourse pia mengi alikua anamfahamu coz wote ni wafanyabiashara, alijua kabisa isingekua issue wala nini kutumia picha za love birds Hao kupamba jarida lake, unaambiwa kabla ya ku publish hiyo habari emelda akawapigia simu akina jakcy kuwaambia kuwa watatokea kwenye jarida la BANG MAGAZINE.

Tofauti na matarajio yake maskini , mengi alimjia juu bi dada huyo , akampiga mikwara mizito na kumwambia endapo angejaribu ku publish picha zao kwenye jarida lake , basi angejuta kuzaliwa, yani unaambiwa issue ilikua nzito , ugomvi mkubwa sana , ikabidi Sasa emelda aongee na jacky hili wayamalize.

Emelda anakwambia hilo jibu alilopewa na jacky hatokuja kusahau maisha yake yote na hapo ndo ushoga ukafa, baada ya mikwara ya mengi mpka kesho sijui BANG MAGAZINE liliishiaga wapi, sijui alifirisika au mzee baba alimnyoosha kama alivyoahidi, hayo siyajui.

Basi bwana , kutokana na huo mkasa wa kusisimua, ebu turudi zama hizi Sasa , maana mzee wetu alikua hapendi kabisa mambo ya media na habari zake zilikua Zikienea tu kwenye mitandao ya kijamii, Sasa wanazengo wanajiuliza, ilikuaje mzee baba akaamua kuweka life yake na jacky in public wakat hata baada ya kuoana mzee alikua hataki media ziandike au yeye kuhojiwa kuhusu mke wake na wala mke wake pia?

Hii interview ya jacky ya juzi naweza kusema ilikua her debut interview Toka aanze Kuwa na mahusiano na mengi, yani nowadays walikua so open , so inlove, they didn't care at all about the public eyes , wanazengo wanauliza je kuna usalama?, jacky Ma nyimbo ya Celin dion I will always love you ilikua kama yote, mzee baba akatoa speech ya hatari kwa mke wake

Jamani huu mkasa unasisimua sana, pumzika kwa amani Reginald mengi

Imendikwa na
WARUMI
img_6672-jpg.1092656
 
N

Nsamaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
5,075
Points
2,000
N

Nsamaka

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
5,075 2,000
Mie niwemkweli...labda kwasababu umri ushasonga...Jacy hawez kutoka kimaisha ..yaan namanisha kuwa na umiliki wa pesa zake mwenyew...amejifungia kwenye kibox cha UMJINI...shopping France...alafu unakuwa na marafk km Rio Paul..hb wale wanakisaidia nn jaman?alafu ile circle yao hivi kuna mfanyabiashara wa kueleweka pale? atleast huyu anayetengeneza beads sijui Nasrim
Kuna mmoja ni mkurugenzi wa shule direct, yule nae huwa naona yuko busy sana na hiyo organisation yake.
 
N

Nsamaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
5,075
Points
2,000
N

Nsamaka

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
5,075 2,000
Shoga mbona ile crew ya jacky sijawaona wakiwa karibu nae kwenye msiba, Au ndo tukutane batani shida kaa nazo mwenyewe Au ndo na wenyewe wanaogopa camera, maana mimemuona faraja tu
Walikuwepo, mi niliwaona wawili na waume zao ila walikuwa benet sana na Mr zao.
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,148
Points
2,000
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,148 2,000
Wote wadangaji tu, huyu naye si walisema mwimbaji wa aliyekuja toka US of A aliburuza?!...Hawana maana hata kidogo..
 
palsa

palsa

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Messages
1,013
Points
2,000
palsa

palsa

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2011
1,013 2,000
Mengi alikua anamwogopa mkewe wa kwanza...alivyokufa tu wakaanza kujiachia
 
Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Messages
5,193
Points
2,000
Mwana

Mwana

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2010
5,193 2,000
Yeye nae sijui kwnn ht hakuwa na huruma na mzee wake, ina maana kweli kwa hali ile ya siku za mwisho mwisho za mzee wake hakuona kbs kuwa afya haiko sawa na anahitaji kupumzika?
Kwenye msiba wa Ruge, yule mzee ht kutembea ilikuwa shida achilia mbali kuongea.
Kabisa jamani. Hata watoto wa Mke mkubwa wana haki ya kuwa bitter naye. Inawezekana mambo ya mtandaoni si kweli lakini ile fact tu ya kumsafirishansafirisha wakati ni mgonjwa was wrong very wrong!
 
kajojo

kajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Messages
1,763
Points
2,000
kajojo

kajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2012
1,763 2,000
Wanazengo today is Thursday right ? Sio mbaya tukajikumbusha matukio ya nyuma ambayo yaliyokea Ila hayakuwahi kusikika au kuvuma.

Kama wewe utakua ni mdau mzuri wa entertainment , Jina la Emelda mwamanga halitakua geni kwenye your ear drum , namzungumzia Yule CEO wa BANG MAGAZINE, jarida lililokua likifanya vizuri miaka kadhaa iliyopita, please simzungumzii emelda mtema Yule shilawadu wa global publisher msichanganye Ma file wanazengo, huyu ni boss-lady, owner wa BANG MAGAZINE, lile jarida linalopambwaga na lugha ya malkia, najua wambea wenzangu humu wengi ni standard seven and form four leavers so wengi wenu mnaweza msiwe mnalijua( jokes bhana) .

Basi bwana , turudi kwenye mada yetu hot ya Leo , kama mnavyojua au wacha niwajuze kuwa hilo BANG MAGAZINE, ni jarida lililokua linapambwa na Ma celebrities wazito, yani watu wakubwa wakubwa , yani wale mastaa wenye hadhi zao , please sizungumzii akina amber rutty wala Gigy money .

Basi bwana, nakumbuka ilikua ni kipindi kile da jacky Ndo alikua kwenye uchumba hot na the late mengi ( rest in peace), story Yao Ndo ilikua hot in town , kila mtu alitaka kusikia habari za couple hii ya billionare , wanazengo wengi walionekana kuwa fascinated kusikia chochote kutoka kwenye hii couple , lakini unaaambiwa marehemu alikua hataki kuzungumziwa na chombo chochote cha habari kuhusu mahusiano yao , yani unaambiwa mzee baba alikaza ki kweli kwel na mikwara alitoa kama yote.

Basi bwana, inasemekana huyu Emelda alikua na ukaribu na jacky even before she got engaged to mengi , kama mnavyojua jacky was a musician and a model, so they were kind of friends coz pia yeye aliwahi kupamba kwenye jarida la mwanamama huyo ambaye kimuonekano ni mpole na asiye na makuu.

Basi bwana , unaambiwa engagement ikafika, dada jacky akavalishwa Pete ya uchumba, Ila ikumbukwe mambo yalikua yanaenda kisiri siri tu japokua watu walijua, na bahati nzuri au mbaya emelda akapata picha za tukio zima la engagement , Sasa si mnajua bibie akataka kuwaweka akina mengi kwenye jarida lake kwenye ukurasa wa mbele kabisa yani FENTI FODI( in magufuli's voice) au kwa lugha ya malkia iliyonyooka ni FRONT PAGE.

Basi bwana, bibie nadhani alikua kashaanza process za ku print hiyo habari na picha kabisa alikua kaweka kwenye jarida lake , si unajua Tena mambo ya exclusive? Bila shaka angepata mtonyo wa maana na jarida lake kuuza zaidi ikiwa tu deal lake lingeenda sawa.

Maskini Dada wa watu, alijua kwa kuwa wanafahamiana na jacky ofcourse pia mengi alikua anamfahamu coz wote ni wafanyabiashara, alijua kabisa isingekua issue wala nini kutumia picha za love birds Hao kupamba jarida lake, unaambiwa kabla ya ku publish hiyo habari emelda akawapigia simu akina jakcy kuwaambia kuwa watatokea kwenye jarida la BANG MAGAZINE.

Tofauti na matarajio yake maskini , mengi alimjia juu bi dada huyo , akampiga mikwara mizito na kumwambia endapo angejaribu ku publish picha zao kwenye jarida lake , basi angejuta kuzaliwa, yani unaambiwa issue ilikua nzito , ugomvi mkubwa sana , ikabidi Sasa emelda aongee na jacky hili wayamalize.

Emelda anakwambia hilo jibu alilopewa na jacky hatokuja kusahau maisha yake yote na hapo ndo ushoga ukafa, baada ya mikwara ya mengi mpka kesho sijui BANG MAGAZINE liliishiaga wapi, sijui alifirisika au mzee baba alimnyoosha kama alivyoahidi, hayo siyajui.

Basi bwana , kutokana na huo mkasa wa kusisimua, ebu turudi zama hizi Sasa , maana mzee wetu alikua hapendi kabisa mambo ya media na habari zake zilikua Zikienea tu kwenye mitandao ya kijamii, Sasa wanazengo wanajiuliza, ilikuaje mzee baba akaamua kuweka life yake na jacky in public wakat hata baada ya kuoana mzee alikua hataki media ziandike au yeye kuhojiwa kuhusu mke wake na wala mke wake pia?

Hii interview ya jacky ya juzi naweza kusema ilikua her debut interview Toka aanze Kuwa na mahusiano na mengi, yani nowadays walikua so open , so inlove, they didn't care at all about the public eyes , wanazengo wanauliza je kuna usalama?, jacky Ma nyimbo ya Celin dion I will always love you ilikua kama yote, mzee baba akatoa speech ya hatari kwa mke wake

Jamani huu mkasa unasisimua sana, pumzika kwa amani Reginald mengi

Imendikwa na
WARUMI View attachment 1092656
Warumi inabidi na ww uwe na magazine yako maana.. Unajua ku narrate hata msomaji una enjoy kusoma
 
kajojo

kajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Messages
1,763
Points
2,000
kajojo

kajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2012
1,763 2,000
Kweli kbs..lakini sio wote..mie nadhan na exposure za maisha..kukulia kwenye umaskini ni kubaya mno mno..ile roho huwa haiishi..ya kutaka muwe wote level 1..
Kuna jiranj yangu mm sitakuja msahau wala kumsamehe ..nilikosa hela ya kikoba hyo jms nikamuomba anitolee50000/÷..akanuambia kwann usiuze tu gari..Ninawaza had leo hii jaman..lakini kutaa kukimbilia lift..sisi wanawake bwana majanga
Pole wee... Ukiona hivyo ana kijiba cha roho kaa nae kimachale huyo
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,654
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,654 2,000
Huyo marehemu alikua anaogopa kwamba swala la aliemuoa kuitwa mchimba dhahabu "golddigger" lingeibuka na swala la msingi la yeye kuoa wakati ndoa ilikuwepo bila kusahau kipengele cha mke wake mpya kua darasa la saba na kutokua na background inayoeleweka...etx
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
14,050
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
14,050 2,000
Huyo marehemu alikua anaogopa kwamba swala la aliemuoa kuitwa mchimba dhahabu "golddigger" lingeibuka na swala la msingi la yeye kuoa wakati ndoa ilikuwepo bila kusahau kipengele cha mke wake mpya kua darasa la saba na kutokua na background inayoeleweka...etx

Kwan Jack ni std 7?
 
Forum statistics

Threads 1,294,208
Members 497,843
Posts 31,168,370
Top