Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Hana akili hizo dada yangu!

Simply put!

Akienda humo,kesho asubuhi anarudi mikono mitupu!

tufanye experiment ndogo sana:

Sasa hivi machache keshavuta zake....

Sasa ile ile Amorette ndani ya miezi sita ijayo ni lazima ife au ipunguze operations!

Mark my words!

The bitch is just dumb...

Ila kwa kupiga picha tu za kujianika insta anaweza masikini,and I wonder why,hua anashindana na nani mle?
Anashindana na anaofikiri wanamuonea wivu pamoja na wale watoto wa Mzee wakubwa.
 
I stand corrected binamu , yeah ni kweli mwanazengo

Na: warumi 2015
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .

Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, ambaye ni mume wa aliyekuwa miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lyn.

Akielezea chanzo cha kushtakiwa, mwenyewe anadai ni kuvujishwa kwa picha za mfanyabiashara huyo akiwa na familia yake, kitendo ambacho mfanyabiashara huyo hakukipenda hivyo aliamua kumshtaki mwanamama huyo kama adhabu na fundisho.

Akielezea kwa masikitiko mwanamama huyo alielezea jinsi ya picha hizo zilivyosambaa mitandaoni, ambazo zilipigwa mahsusi kwa ajili ya kupambwa kwenye jarida maarufu la mwanamama huyo, hata hivyo inasemekana baadhi ya wahariri wa jarida hilo walizivujisha picha za Mengi huyo kwenye mitandao ya kijamii either kwa bahati mbaya au kwa kukusudia , kitendo kilichomkera Mengi na kuamua kumshtaki.

https://www.jamiiforums.com/threads...ga-wa-bang-magazine-na-reginald-mengi.860866/
 
Shost wee, mume kamwachia mimali yote ile anaanza kulia ili iweje? Wajane sie tunaotegemea waume zetu wauza mikaa Ndo watulishe familia nzima mpaka ukoo apo mume akifa utalia kama wanawake wa kinegeria
Yani wewe nimecheka sana
 
Wanazengo today is Thursday right ? Sio mbaya tukajikumbusha matukio ya nyuma ambayo yaliyokea Ila hayakuwahi kusikika au kuvuma.
Kama wewe utakua ni mdau mzuri wa entertainment , Jina la Emelda mwamanga halitakua geni kwenye your ear drum , namzungumzia Yule CEO wa BANG MAGAZINE, jarida lililokua likifanya vizuri miaka kadhaa iliyopita, please simzungumzii emelda mtema Yule shilawadu wa global publisher msichanganye Ma file wanazengo, huyu ni boss-lady, owner wa BANG MAGAZINE, lile jarida linalopambwaga na lugha ya malkia, najua wambea wenzangu humu wengi ni standard seven and form four leavers so wengi wenu mnaweza msiwe mnalijua🤣( jokes bhana) .
Basi bwana , turudi kwenye mada yetu hot ya Leo , kama mnavyojua au wacha niwajuze kuwa hilo BANG MAGAZINE, ni jarida lililokua linapambwa na Ma celebrities wazito, yani watu wakubwa wakubwa , yani wale mastaa wenye hadhi zao , please sizungumzii akina amber rutty wala Gigy money .
Basi bwana, nakumbuka ilikua ni kipindi kile da jacky Ndo alikua kwenye uchumba hot na the late mengi ( rest in peace), story Yao Ndo ilikua hot in town , kila mtu alitaka kusikia habari za couple hii ya billionare , wanazengo wengi walionekana kuwa fascinated kusikia chochote kutoka kwenye hii couple , lakini unaaambiwa marehemu alikua hataki kuzungumziwa na chombo chochote cha habari kuhusu mahusiano yao , yani unaambiwa mzee baba alikaza ki kweli kwel na mikwara alitoa kama yote.
Basi bwana, inasemekana huyu Emelda alikua na ukaribu na jacky even before she got engaged to mengi , kama mnavyojua jacky was a musician and a model, so they were kind of friends coz pia yeye aliwahi kupamba kwenye jarida la mwanamama huyo ambaye kimuonekano ni mpole na asiye na makuu.
Basi bwana , unaambiwa engagement ikafika, dada jacky akavalishwa Pete ya uchumba, Ila ikumbukwe mambo yalikua yanaenda kisiri siri tu japokua watu walijua, na bahati nzuri au mbaya emelda akapata picha za tukio zima la engagement , Sasa si mnajua bibie akataka kuwaweka akina mengi kwenye jarida lake kwenye ukurasa wa mbele kabisa yani FENTI FODI( in magufuli's voice🤣) au kwa lugha ya malkia iliyonyooka ni FRONT PAGE.
Basi bwana, bibie nadhani alikua kashaanza process za ku print hiyo habari na picha kabisa alikua kaweka kwenye jarida lake , si unajua Tena mambo ya exclusive? Bila shaka angepata mtonyo wa maana na jarida lake kuuza zaidi ikiwa tu deal lake lingeenda sawa.
Maskini Dada wa watu, alijua kwa kuwa wanafahamiana na jacky ofcourse pia mengi alikua anamfahamu coz wote ni wafanyabiashara, alijua kabisa isingekua issue wala nini kutumia picha za love birds Hao kupamba jarida lake, unaambiwa kabla ya ku publish hiyo habari emelda akawapigia simu akina jakcy kuwaambia kuwa watatokea kwenye jarida la BANG MAGAZINE.
Tofauti na matarajio yake maskini , mengi alimjia juu bi dada huyo , akampiga mikwara mizito na kumwambia endapo angejaribu ku publish picha zao kwenye jarida lake , basi angejuta kuzaliwa, yani unaambiwa issue ilikua nzito , ugomvi mkubwa sana , ikabidi Sasa emelda aongee na jacky hili wayamalize.
Emelda anakwambia hilo jibu alilopewa na jacky hatokuja kusahau maisha yake yote na hapo ndo ushoga ukafa, baada ya mikwara ya mengi mpka kesho sijui BANG MAGAZINE liliishiaga wapi, sijui alifirisika au mzee baba alimnyoosha kama alivyoahidi, hayo siyajui.
Basi bwana , kutokana na huo mkasa wa kusisimua, ebu turudi zama hizi Sasa , maana mzee wetu alikua hapendi kabisa mambo ya media na habari zake zilikua Zikienea tu kwenye mitandao ya kijamii, Sasa wanazengo wanajiuliza, ilikuaje mzee baba akaamua kuweka life yake na jacky in public wakat hata baada ya kuoana mzee alikua hataki media ziandike au yeye kuhojiwa kuhusu mke wake na wala mke wake pia?
Hii interview ya jacky ya juzi naweza kusema ilikua her debut interview Toka aanze Kuwa na mahusiano na mengi, yani nowadays walikua so open , so inlove, they didn't care at all about the public eyes , wanazengo wanauliza je kuna usalama?, jacky Ma nyimbo ya Celin dion I will always love you ilikua kama yote, mzee baba akatoa speech ya hatari kwa mke wake
Jamani huu mkasa unasisimua sana, pumzika kwa amani Reginald mengi
Imendikwa na
WARUMI View attachment 1092656
Kaongo weye! Haina hatari ila punguza hizo "basi bwana" zinaleta kitu fulani kwa kigogo huitwa "monotonous "!Halafu siku hizi unajitahidi "kutia " kizungu kwenye ukwaju wako. Hongera.
 
Hhahaha au misiba ya kinyakyusa wanalia mwezi..ukimuona mfiwa km huwez vunga utacheka ufe .kapaukaaaa..na litambaa jeusi kichwan na kipara cha kutoshamuda wote ukimkumbuka mumeo unaloanzisha kwa ngv sana sana.. na kweli siye waume zetu wauza mikanda ya kiunoni lazima ulie huna namna
Mane utukome wanyaki. Jacky sio mnyaki jamani, muache alie kwa style yake.
 
Kaongo weye! Haina hatari ila punguza hizo "basi bwana" zinaleta kitu fulani kwa kigogo huitwa "monotonous "!Halafu siku hizi unajitahidi "kutia " kizungu kwenye ukwaju wako. Hongera.

Ahaha kizungu cha kuombea maji, ahsante binamu
 
Back
Top Bottom