Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Ofisi za Bang zilikuwa pale karibu Clouds Mikocheni njia ya kutoka Mikocheni kwenda Mwenge,nasikia hiyo nyumba ilipigwa mnada kutokana na hiyo kesi na ilikuwa ni nyumba ya familia ya mwenye gazeti.
Hii mbaya.
 
Kweli kbs..lakini sio wote..mie nadhan na exposure za maisha..kukulia kwenye umaskini ni kubaya mno mno..ile roho huwa haiishi..ya kutaka muwe wote level 1..
Kuna jiranj yangu mm sitakuja msahau wala kumsamehe ..nilikosa hela ya kikoba hyo jms nikamuomba anitolee50000/÷..akanuambia kwann usiuze tu gari..Ninawaza had leo hii jaman..lakini kutaa kukimbilia lift..sisi wanawake bwana majanga
Anakumind kwann una gari halafu unamuomba hela.
 
Basi yaelekea Jacky kichwani ni bure sana....

Nilijuaga genius.....

Ulichosema hapo yaelekea ana akili kisoda sana,maana hayo maamuzi aliyofanya ni ya kiajabu sana!

Na pia theory yangu nazidi kui-prove zaidi na zaidi maana angekua na akili mingi kiivyo Amorette isinge sua sua kiivyo

Amorette ingetakiwa iwe household name kama ilivyo benkmark vile...

Itoshe kusema Madam Ritha kwenye akili ya biashara anamzunguka Jacky mara kama elfu kadhaa.....na yule mama Mercy anawazunguka wote mara milioni kadhaa....

Kwahiyo among the three women,Jack ndio dumbest of them all!

Any other theory to refute mine is welcomed!
Jack mtupu kichwani. Hata ukitazama the way anafanya mambo yake kwasasa, inaonyesha tu kuwa huwa hajui jipanga na hayupo smart na maamuzi yake.
 
Umesema kweli nadhan ule umjini mjini umemfanya asiwaze mbali...Jaman Jacky si angeenda kwenye industry zenye pesa mfano akawekeza kwenye madini hukk..akawa anaexport midhahabu huko Dubei jaman..hela ipo nn shida??jaman wengine tunakosa tu connections..
Fala sana yule. Yaani kakaa, kawaza na kuwazua akaona the best idea ni kuwa fundi seremala......
 
Of course....

Ila Madam ana akili fulani hivi ya biashara na kusimamia na kujitegemea at highest level,I don't think that's the case with Jacky!

Infact quiet the contrary!

Jacky's brains will be exposed now since machache kasepa...!

Anaweza kaukiwa hadi zile range zikageuka kua RAV4,haya maisha sio mchezo kabisa!

Let us see
Now analipa lawyers kumtetea kesi ambayo anajua hatashinda kama ukweli ukiwekwa mezani na anaweza loose custody ya watoto kwa familia ya mengi.
 
Yeye nae sijui kwnn ht hakuwa na huruma na mzee wake, ina maana kweli kwa hali ile ya siku za mwisho mwisho za mzee wake hakuona kbs kuwa afya haiko sawa na anahitaji kupumzika?
Kwenye msiba wa Ruge, yule mzee ht kutembea ilikuwa shida achilia mbali kuongea.
Miaka 70+si kidogo ati!
 
Back
Top Bottom